Sababu za wasani Tanzania kutokana kimapenzi Na wanawake wa inchi nyingine

never Se me

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
702
1,006
Diamondplatnumz ,Aytanzania,Alikiba ,benpol Na wengine wengi .je Dada zetu awana mvuto Na ushawishi.
Sasa kuna sababu nyingi zinazo Fanya wasani wa kiume kuvuka mipaka ya inchi kwenda kutafuta dodo .sababu moja kubwa ni wanawake wa level zao wengi wao wamewatumia Kwa kupokezana mfano .jokete katoka Na kiba ,mond, mond katoka Na wema .pia wema katoka Na wengi .gambe katoka Na mond Na harmonize ..ku wife material akuna



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza vizuri lakini umeishia njiani... Tulia uandike na uwasilishe vizuri mawazi yako.Uzi wako unenepeshe kidogo!
 
Back
Top Bottom