Hii ni kwangu tuu ama?

Hii ni kwangu tuu ama?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Wakuu,mi kiukwel nmetembea na wadada weng mpaka sasa,na kwa umri nilionao nahis imetosha sasa...yanipasa kutafta mdada wa maisha sasa...

Ila tatzo ni kwamba,kuna mdada nilikutana nae 2009 kipind niko 1st yr chuo..nilimpenda sana,ingawa b4 yeye nilishalala sana na ma hausigeli wa home,..kwahyo nahesabia kama yeye ndo alinitoa bikra,sabab pia nilimkuta na bikra,yaan silidi kabsaa,ilichkua siku3 had kuitoa(irrelevant)

Huyu dada nilidum nae kwa 3yrs..mapenz haya yalikua na wiv wa kupitiliza,ila kiukwel huyu mtoto alinidatisha ,

Tuliachana sabab ya tatzo la umbal baada ya yeye kumaliza chuo mi nilibak chuo(,kozi zetu ndefu sana)..migogoro,wivu wa kupindukia,ulifanya kila siku tugombane,mwisho wa siku kise.nge seng.e tu tuliachana

Ni miaka6 imepita kila mtu ana maisha yake,ingawa bdo tunawasiliana had leo na wiv uko pale pale ingawa tumeachana,yeye yuko ulaya now ,

Ila huwez amin huyu dada had leo hajatoka kichwan mwangu,had namuota bado,daaah,

Na ninagonga watoto wakali kuliko yeye lakin huwez amini kichwan hajatoka

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfate ulaya ukamweleze ukweli umuoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukwel anaujua,ananipigia sim mara nying tunaongea na kukumbushana zamani...

Ila,cha ajab anasema yeye hajawa na mahusiano mda mref tokea tumeachana,sasa namuuliza kwann,anasema anaona mizinguo tuu so kaamua kua asidate tena,mara ya mwisho tumeongea new yr hii juz anasema anawish angekua namim tena,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel anaujua,ananipigia sim mara nying tunaongea na kukumbushana zamani...

Ila,cha ajab anasema yeye hajawa na mahusiano mda mref tokea tumeachana,sasa namuuliza kwann,anasema anaona mizinguo tuu so kaamua kua asidate tena,mara ya mwisho tumeongea new yr hii juz anasema anawish angekua namim tena,

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nice, ni wewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,amini nakwambia,hawa watoto wa maisha bora wanaotoka marian,st.marry goreth,feza etc weng wanaingia chuo mabikra,kwasabab ya kuchungwa home na shule,...ila wakiingia chuo tu ule mwaka wa kwanza ,hua wanavamia mapenz balaaa,so weng bikra znatolewaga semister ya kwanza ile,..amini nakwambia hili
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] labda ila ni ngumu sana mwanangu kwa Karne hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanaume namjua na yeye Ana Hilo tatizo hamsahau girlfriend wake had usiku Ana amka na kukumbuka. I do believe ngono hufungamanisha nafsi za watu. Sasa nyingine ukibanjuka naye zile roho zinaleta muunganiko mkali sana. Nilisoma ig jinsi ya kuondoa Hilo fungamano

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom