Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dunia ya Mapenzi haijawahi kuwa rafiki namoyo wangu.. Ndio maana kila siku nimekuwa mtu wa kuuguza majeraha ya kutendwa.. Kuna wakati nikikaa huwa nawaza hivi huwa nakosea wapi?!!!!!! Laiti kama...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mi mgeni hapa mjini mwanza, nimefikia maeneo ya nyakato, ila cjajua viwanja vya kuwapata madada poa, cause nina mshahara wa mwezi huu nataka kula wote na mmoja wa dada poa atakayenipendeza, naombe...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Nimekutana na stori wadada wawili.mmoja anamwambia mwenzake kwamba watafute hela wapate magari na majumba Kisha wakanunue mbegu za calisah yule mwanamitindo Kisha wapandikize wapate watoto...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ova
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Ova
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Hawa wake zetu au mademu zetu kwenye mioyo yao wana jambo zito sana wanayamani kulisema ila wanapata hofu au kuona huruma au kujisikia vibaya kulisema... Sasa hapa natoa uwanja kwa wadada kusema...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa kisemavyo,katika pitapita zangu na miangaiko ya hapa na pale hapa jijini nimeona tabia moja ambayo acha niseme hapa jf. Kama ilivo kawaida yetu wanaume kila akipita mwanamke...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za mchana mabibi na mabwana wa JF MMU, Nalipenda hili jukwaa sababu ya Mahaba niliyonayo, yaani mie mwenyewe ni Mahaba hivo kila kinachonihusu kwa namna moja au nyingine kitapata Mahaba...
1 Reactions
60 Replies
3K Views
........Nimekutana na mdada mmoja Mitandaoni.. Tukafikia kupeana namba za CM name mwisho mawasiliano yetu yakakua Sana Kama Miezi 3-4 Hivi. ..Akaja Dar es salaam kwa Ndugu zake Mbagala Rangi...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi...
14 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu naomba kwa wanaofahamu materials(eg Gold, Tanzanite) ambayo pete za uchumba zinakiwa kuwa nayo ambayo yanapatikana kwa sonara. Hapa namanisha common material ambazo hutumika kutengeneza...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Msomali Inasemekana katika mataifa barani Afrika yenye wadada wenye ulimbwende wa asili basi mataifa haya matatu; Eritrea, Ethiopia na Somalia, kamwe hayawezi kukosekana katika namba za juu...
24 Reactions
69 Replies
10K Views
Zero IQ mimi ndio naamini hivyo kwangu kufanya mapenzi (ngono) siyo dhambi . Ukiniuliza kwa nini nitakujibu tu kwamba ni ka mbinu tu walichotumia wazungu ili tuogope kujipimia utamu kwa mademu...
6 Reactions
103 Replies
14K Views
Lakini mama... 09/23/2017..saa tano usiku Ni saa tano usiku ambapo nimemaliza kufunga milango ya nyumba na kuzima taa moja baada ya nyingine kutokea sebuleni kuelekea chumbani kwangu huku akili...
28 Reactions
46 Replies
8K Views
Hivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !? Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi...
3 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari wakuuu, Kwanza niwatakie Xmas njema. Kwa upande wangu kwa mahesabu yangu nimetembea na wanawake 23 kwenye umri wangu huu wa miaka 28+ Kati ya 23 wake za watu ni 3 Mademu wangu 20...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo...
1 Reactions
87 Replies
10K Views
Mambo mengine bhana.. Jimama moja nimeliibukia bwana na ma swaga,,,, likanibaniaaa lakini mwisho wa siku likaja kukubali kuingiliwa na mimi mtu aliyejaa kasumba. kabla hatujapanga siku ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…