Acheni ngono zembe

Acheni ngono zembe

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Mtu anawadada mia utakuta anakazi ila ratiba yake ni hii hapa.
Ijioni 12 akiwa home anakuja A huyo atapika watakula ataenda atakuja B huyu atakaa ikifika saa sita ataondoka C huyo atalala mpaka jua kuchomoza saa 12 asubuhi.
Na D ni wakazini so lunch wao wapo guest.
After lunch wanarudi kazini mara mteja E atadai wanatoka kumbe wataenda guest tena au kwa E .
F atakuja 12 ijioni halafu ataakaa kidogo saa mbili ataondoka G atakuja watapika atakula ikifika saa 4 ataenda ndio maisha ya Tyson everyday of his life sasa ukimpima utafind nini hivi T kwa wote hao anakumbuka Kinga.??
KWA WADADA
Atleast ukimpata atakayekutuliza unatulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hold on....!!
Unazungumzia wanaume wa sayari gani? Wenye hizo nguvu za kugegedana hivyo?[emoji23][emoji23]acha utani wewe?
Hata kama ni mfano Fanya kutoa mifano yenye uhalisia kidogo basi.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Sure walahi sidanganyi nimeona live.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mtaona niutani ila sio utani mpaka ameshindikana kwao hivi unafikiri nimetunga laiti ungekuwa unaishi naye karibu ungeamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hold on....!!
Unazungumzia wanaume wa sayari gani? Wenye hizo nguvu za kugegedana hivyo?[emoji23][emoji23]acha utani wewe?
Hata kama ni mfano Fanya kutoa mifano yenye uhalisia kidogo basi.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
hahaha asee wapo bwana wanaojibigidibusti
 
Hakuna mwanamke wa kuja kukupikia saa 12 jion alafu mle aondoke. Alafu aje mwingne mkae naye tena kabla ya saa sita awe ameondoka.
Then aje mwingne saa sita ndo mlale naye mpk saa 12 asbh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Labda km huyo jamaa yako ananunua malaya hapo sawa, malaya unaweza kuwapanga folen kabsa mlangoni kwako, unamla huyu anatoka na kuingia mwingne instantly.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom