Haya ndiyo ya walimwengu...

Haya ndiyo ya walimwengu...

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
1,952
Reaction score
2,527
Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini.

Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na dharau, akafanya hadi nikapata msongo wa mawazo na kichanga changu.

Anyway miaka imepita, am happy with my new lover and my little prince, a very smart and handsome boy.

Aliongozana na mwanae wa kike ana miezi tisa kwa maelezo yake. Madhali walishakaribishwa hadi ukumbin sikuwa na jinsi ila tu kuwapa fake smile na kuwapokea. Akadai kamleta bintiye amsalimu kaka yake, nikajibu sawa.

Tukawakaribisha, nikiwa na my love pembeni. Vinywaji, msosi, movies zikawekwa na watoto wakawa wanacheza bustanini.

Niseme tu kuwa nilijikaza nisicheke. Mweeeh, kabinti kamevishwa mavazi ya Kariakoo, full anawakawaka ila ukimtazama huwezi dhani ni binti, at first nilidhani ni mtoto wa kiume.

Kimoyomoyo nikawa najiambia hapana, mwanangu hana dada kama huyu!

Anyway ndo walimwengu na ya walimwengu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kumdharau huyo mtoto asiyekukosea kwa lolote ndio umeharibu.. Wanaume wenzangu tuangalie na wanawake wa kuoa...

Mavi yako...
Haahahah
Sijamdharau mtoto,nimeshangaa tu mama yake niliambia mrembo, mbona hajazaa mrembo kama yeye?instead mie mbaya nimetoa bonge la HB halina mfanowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini.

Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na dharau, akafanya hadi nikapata msongo wa mawazo na kichanga changu.

Anyway miaka imepita, am happy with my new lover and my little prince, a very smart and handsome boy.

Aliongozana na mwanae wa kike ana miezi tisa kwa maelezo yake. Madhali walishakaribishwa hadi ukumbin sikuwa na jinsi ila tu kuwapa fake smile na kuwapokea. Akadai kamleta bintiye amsalimu kaka yake, nikajibu sawa.

Tukawakaribisha, nikiwa na my love pembeni. Vinywaji, msosi, movies zikawekwa na watoto wakawa wanacheza bustanini.

Niseme tu kuwa nilijikaza nisicheke. Mweeeh, kabinti kamevishwa mavazi ya Kariakoo, full anawakawaka ila ukimtazama huwezi dhani ni binti, at first nilidhani ni mtoto wa kiume.

Kimoyomoyo nikawa najiambia hapana, mwanangu hana dada kama huyu!

Anyway ndo walimwengu na ya walimwengu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto miezi tisa anacheza bustanini? Au umekosea mkuu?

Any way mambo hubadilika sana, visa vya mapenzi ni vile vile miaka nenda, miaka rudi. Ukizoea hakuna wakukuumiza kichwa

Pale alipokwama yeye ndipo ulipoendelea wewe. Just move on, never turn back it will be wrong turn'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom