Mwanamke bila kuwa na msimamo ni sawa na choo cha kulipia, Mwanaume yeyote ataingia na kuacha uchafu na harufu yake

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Mwanamke bila msimamo
huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote
mwenye pesa ya kukidhi hitaji la
kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha
huondoka na kuacha harufu na uchafu wake.

Usichana ni sawa na chakula
kilichohifadhiwa kwenye bakuli zuri na
safi kikiwa kimefunikwa, ikitokea chakula
hiki huingizwa vijiko na kila apitae ni wazi
kuwa mlaji wa mwisho (mume) hukuta
kikiwa kimechacha, hukuta makombo, nani apendaye kula chakula kilichochacha?? Au makombo????

Thamani halisi ya utu wa binadamu
haifananishwi na kitu chochote, mwanamke mwenye akili timamu mwenye kujielewa hawezi kuwa na mahusiano ya wanaume 100 ila atatafuta sababu 100 za kuwa na mwanaume mmoja! "TUACHE TAMAA" nakupenda maisha rahisi ya shortcut, Thamani yako ni zaid ya gari, Nyumba, ama mabilion ya fedha wewe ni zaidi ya hivyo vitu!

Chakula huwa kikiletwa mezani kikiwa kimefunuliwa hakijafunikwa watu walioko mezani anakua ameshajua aah kumbe ni matembele! Lakini kikiletwa kikiwa kimefunikwa kinawatia hamu ya kujua kuna chakula humo!

Wanaume hawaowi kwasababu mahitaji yote tayari yanapatikana/anapewa kabla ya ndoa hivyo anaona haina haja ya kuoa sababu kila kitu anapata, wewe ni sawa na chakula kilicholetwa mezani kikiwa kimefunuliwa Thamani hakina tena!

HESHIMU UTU WAKO, HESHIMU MWILI
WAKO........UMENUNULIWA KWA THAMANI!

Si kila mwanaume anaufanyia utalii wa bure bure tu, kuwa wa gharama. .....unakuwaje wa bei rahisi hivyo??

Uaminifu unalipa! Tunza rafiki hizo si karanga kila MTU anaonja onja tu, na ukitunza hayo si makande useme ya tachacha hata miaka 50 tunza tu!
 
Eti "kuacha uchafu" Haina makombo hata siku moja... Na hakuna mwanaume anayechukizwa na makombo na ndio maana:-
- Anakula mke wa mtu
- Anakula Changudoa
- Nk.
Hayo unayosema ni dhana zisizo na mashiko na zenye uelekeo wa kumdhalilisha mwanamke....
 
NENDA MABIBO HOSTEL MIDA YA USIKU UKAONE WANAVYOFANYA TENA WENGINE PESA IPOO ,NA BOOM JUU, *UNAOWASHAURI WANATOMBEKA TENA WENGINE KWA HIARI YAO BILA PESA*


tofautisha HULKA YA NGONO coz kila mtu anayo, na TAMAA YA PESA..
 
Back
Top Bottom