katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Unamkuta mtu anamadai eti anakuona upo humu masaa karibia na yote.
Sio kwamba hana kazi watu wanakazi.
Mf. Ukiwa ofisini umefika ukajibu post ukawasha kompyuta na kuanza na kazi halafu post zikaingia unajibu kazi yangu sio kuleteana maneno .
Kwani mule kazini utaambiwa uaifanye kazi kisa simu umepokea na kujibu messages hata kama ni masaa yote.
Ilimradi siku imeisha na nimefanya kazi ya watu.
Komeni kusema watu hamuwajui kiundani .
Nasimdharau mtu hata kama hana kitu .
Mtu kama mtu tu usimdharau eti.
Nakwera nao hao watu wanaona wengine ni mazoba hawawazi maisha .
Sent using Jamii Forums mobile app