Umewahi kutapeliwa shilingi/Dola ngapi katika mapenzi?

Umewahi kutapeliwa shilingi/Dola ngapi katika mapenzi?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Kama kuna kamlango ka kupotezaga pesa mingi hasa wanaume ni katika mahusiano. Pale kwenye early stages za mahusiano wengi tunapotezaga hela balaa. Utakuta mtu umemtumia hela then anapotea, unamfungulia biashara anakula kona, mmekubaliana mkutane guest, unalipia chumba mara hapatikani hewani, kakuomba hela ya viwaro, mara kusuka halafu unaambulia vumbi!!

Binafsi niliwahi kutapeliwaga Tsh Elfu 10,000 na Manka mmoja kuleee Monduli! Hela nilimpa na nilichokuwa natafuta sikukipata! Ile hela iliniuma balaa ukizingatia ndo nilikuwa nimetoka chuo, bum limekata na kazi hakuna!!! Mpaka leo sijawahi kumuona tenaa! Mind you, sikuwa nalipia huduma, bali aliomba kwa ajili ya shida zake, ila in mind nikajua nafungulia mlango kuumbe!!!

Wewe umewahi kutapeli/kutapeliwa Sh/Dola ngapi in relation?
images%20(3).jpg
T7mMSWm.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh sikumbuki hata kama huwa natoa pesa kwenye hicho kitengo.

Vyuma walipewa bure leo waje kunitapeli!
 
Vijana wadogo tunapata uzoefu hapa kwanza, ili tukijitosa katika hilo dimbwi tuwe tumeiva ipasavyo [emoji41]
 
Kama kuna kamlango ka kupotezaga pesa mingi hasa wanaume ni katika mahusiano. Pale kwenye early stages za mahusiano wengi tunapotezaga hela balaa. Utakuta mtu umemtumia hela then anapotea, unamfungulia biashara anakula kona, mmekubaliana mkutane guest, unalipia chumba mara hapatikani hewani, kakuomba hela ya viwaro, mara kusuka halafu unaambulia vumbi!!

Binafsi niliwahi kutapeliwaga Tsh Elfu 10,000 na Manka mmoja kuleee Monduli! Hela nilimpa na nilichokuwa natafuta sikukipata! Ile hela iliniuma balaa ukizingatia ndo nilikuwa nimetoka chuo, bum limekata na kazi hakuna!!! Mpaka leo sijawahi kumuona tenaa! Mind you, sikuwa nalipia huduma, bali aliomba kwa ajili ya shida zake, ila in mind nikajua nafungulia mlango kuumbe!!!

Wewe umewahi kutapeli/kutapeliwa Sh/Dola ngapi in relation?View attachment 1008547View attachment 1008548

Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu kumi? Mbona kama umepunguza sifuri?
 
Mwaka jana tu nimepigwa 100000 ya Rwanda..yaani angejua jinsi nilivyojibana mpaka kuitengeneza hiyo pesa bora angepiga nusu...huyu alikuwa abiria tu si mpenzi, alitaka kunipa penzi kama nauli ya kutoka Rusumo mpaka kigali, mi nikachomoa malipo yake ndo hayo, alishukia Rwamagana badala ya kigali..muda aliochukua mkwanja wangu hata cjui..ckuwahi sema ndo leo hii, maana ningewaambia wenzangu yangefika kwa kila mtu...kanilisha/kanipikisha maharage ms...ge yule mpaka narudi..
 
Back
Top Bottom