Naomba nikiri kwamba mi ni kijana wa miaka 29,sijaoa nahitaji mwanamke mwenye kuhitaji kuolewa,kama atakuwa muislamu itafaa zaid,sichagui kabila,umri niutakao asizid miaka 35,huduma zote za msing...
Zimeibuka threads za Mara kwa Mara hapa Jf watu wakiulizana wafanye kitu gani ili kuwavutia wanawake.
Like seriously?
Why wasting ur time for non sense?
Women are not essentials .They are just...
Wakuu imekaaje hii.. Au Nani amewai tokewa na haya mambo.. Tulishindwana tukiwa first year vyuo tofauti.. Sasa sa chache zilizopita nikaitrace namba yake Maana nilizifutaga.. Ikabidi nimcheki...
Tunajua kuna muda mnakasirika kwa tunayowafanyia. Hasira tunakubaliana nazo maana muda mwingine mnasitahili kukasirika. Lakini majibu mnayotujibu yamekuwa mazito na kadri siku zinavyoendelea...
Ukizaa na mwanamke then ukamuacha utasikia wanawake wanakulalamikia " ukizalisha wanawake na ukawaacha, mabinti zako na dada zako nao watachezewa na kuachwa.."
Sasa nauliza umalaya wangu Mimi...
Habari zenu wabongo? Kuna rafiki yangu African-American au Black American ambaye amefanya research ya historia yake na kugundua kwamba babu yake au kizazi chake kwa upande wa baba kinatokea...
Wakuu katika kuishi Kwangu duniani Kuna jambo najiuliza Sana mwanamke hata awe komando kiasi gani sumu yake ni mdudu nyoka.. Naomba wajuzi waje hapa watudadavulie.
Reference nasikia ni pale...
Mume alicheat. Mke alipogundua, nae akaamua ku- cheat, ila akaishia kupata na mimba baada ya kufanya hivyo. So swali, ni nani ndo alieisambaratisha familia?
Habari za usiku wanajamii forum
Kwa muda sasa ninaona nadharia ya PESA inapewa mashiko sana kwenye mahusiano,mtu anakuambia tafuta pesa wanawake hawatakusumbua maana kwenye pesa mademu hutulia...
Vijana hasa wanaume tunapoteza pesa nyingi sana kisa madem kwanini nasema hivi leo asubuh nimetulia zangu nikaanza kupiga hesab za fasta kuhus pesa nazopoteza kwa wanawake toka nijue nin maana ya...
Wana MMU naombeni ushauri wenu kuna demu kila nikimwomba game anasema kufanya mapenzi ni dhakbi alinambia yupo form four ila ukimwangalia age imekata ivii. Naombeni mbinu zakumshawishi
Je ukikutana na Mke wa Mtu Gesti / Loji ambaye mnajuana ' Kindakindaki ' akiwa anaenda Kuliwa ' Uroda ' na Mwanaume mwingine ( Hawara ) huku Mumewe ukiwa unamjua vyema tu..
1. Ukamwambie Mumewe...
Jamani nimetengana na mume wangu baada ya kuona vipigo vimezidi ikabidi niondoke niende kwa kaka angu ambaye naye anafamilia yake.
Nilikuwa nafanya kazi katika kampuni fulani lakini mume...
1-hata kama hujui mapenzi yeye HAJUI KWAMBA
HUJUI..ukipanda kama kuku sawa ukicheua dakika 6
sawa ...hana comparison wala reference...ILA UOE
GUBE GUBE looh...Ukishuka tu anampigia Ex Wake simu...
Baada ya kuhitilafiana naye baada ya kukataa kulala naye kitanda kimoja na shuka moja....na kuzuka vurugu za hapa na pale
Mwanamemba mmoja wa jf alitukutanisha na kuombana msamaha na baada ya...