Mahari ya milion 3.5 kwa usawa huu vijana hatuoi

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Habari wakuu
Vijana tunapitia changamoto nyingi sana hasa kwa kipindi hiki cha utawala wa magu ambao ajira na pesa ni tatizo kubwa kwa vijana

Katika maisha isue ya ndoa na kuanzisha familia ni muhimu na lazima kwa wanadamu waliokamilika,
Jamii zetu zimekuwa ni kikwazo haswa kwa vijana wanapotaka kuangia katika ndoa na familia kiujumla

kiukweli familia ya mwanamke kupanga mahari ya kiwango kikubwa cha pesa ili kumuoza binti yao ni kikwazo

wakuu nimepangiwa mahari ya Million 3.5 pesa ya kitanzania, tena hapo imepungua baada ya kulalama sana kwani walihitaji milion 5 kamili.

Sababu zao wanazotoa eti wamelea na kumasoesha binti yao mpaka chuo kikuu na anadegree moja ya ualimu kama mimi huku yeye akiwa na kazi yoyote ya kujikimu, mpaka muda huu ananitegemea kwa kila kitu na bado wanataka mahari hiyo

wakuu nimeamua kukaa kimya sitawabembeleza tena, wakae na huyo binti yao wakijisikia watamleta gheto kwangu kwa pesa isiyozidi milion 1 tu
Binti ni mmilikiwa wa kabila la kinyakyusa kutokea jijini mbeya huko, sijui ndio itakua utaratibu wao labda..

wazazi msifanye biashara ya kuwauza binti zenu, hiyo mahali sitoi na siwezi fanya ujinga huo
 
babu kazi unayo sendofff mbeya harusi dar mahari upeleke mbeya etc
 
Back
Top Bottom