Je mwanamke wa style Hii anafaa kuoa

Je mwanamke wa style Hii anafaa kuoa

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,115
Kuna dem nilimtongoza akakubali , akaniamba anataka kuja kupaona ninapoishi nikamwambia usijar utapajua, siku niliyokuwa free nikamuelekeza getto akaja chakushangaa Nashangaa anaaza kuchunguza chumba changu na nikaona kamanipo kwenye usaili , yan mgen mala yakwanza unaanza kuchambua pazia, nguo zangu vyombo mbaka Leo uyu bint sija muelewa alikuja kunipeleleza Nina vitu vya saman kias gan ili ajilinganishe na vitu vyake? Na Mimi Nina godoro na baskel na akauliza baskel yanan du uyu kwe dem anafahaa kuweka ndani kwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baiskeli kwajir yamazoez

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mala yakwanza kukaribishwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndivyo unavyo andika ama kua mtoto wa darasa la nne ndie anakuandikia...!!??
FB_IMG_1552328581505.jpg
 
Kijana hapo kimbia, hamna mke hapo ata kupiga usipige ,ni mkosi huo kwetu
Mkos gani? Mimi nilivyo msoma nimeona amekuja kwa lengo la kujua kwenye geto langu kuna vitu gani, alitegemea atakuta home theater, Flat screen , friji, kabet la manyoya fen, kitanda 6×6 , sasa alivyo tarajia kakuta tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom