Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka
Wewe badala hata utake...
Siku za hivi karibun nilishobokewa na manz aliyetemwa. Kiukweli Kuna kajikisrani hivi.
Usithubutu kujiona kidume ubebe uweke ndani. Fanya uchunguz wa kina. Kuna mengi Sana yaliyojificha ndan ya...
KUNA baadhi ya watu husema kuwa hawapendi ndoa kwa madai kwamba hazina �dili�. Je wewe msomaji unasemaje?
Kwa mtazamo wangu ndoa ni muhimu pamoja na ukweli kuwa baadhi ya ndoa zina...
Wakuu nimetoka kufanya negotiations na binti wa kifipa kule rukwa! lakini sijui hawa watu Wana hulka zipi ukimweka ndani kwa wale wajuzi wa hili kabila!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi?!!!! Leo nimeona niulize haka kaswali kidogo.. Hivi ni sahihi kwa mwanamke kuomba kugegedwa kila siku?!! Je hii hali itakua inaashilia nini labda Je atakua na matatizo ya pepo la...
Napenda sana kusaidiana na watu awe ndugu jamaa au rafiki, lakini nikija kwenye suala la kukupa usafiri na mafuta yake siwezi.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja. Ishu ni kwamba ukija...
Kama mzazi, Dada au Kaka nadhani ni kitu kizuri kama utajua Dalili kua mwanao anafanyiwa ukatili. Tatizo kubwa hapa nikuwa wengi wanaofanyiwa hivi hufanyiwa na watu wao wa karibu, watu ambao wewe...
Za sa hizi wana jf mimi Nina swali?
MF.. Umeamua kuachana na mahusiano amabyoa hanaya faida ukaamua kumove in na maisha yako lakini ikatokea unarafiki tu ambaye mlisoma nae. Shule moja na...
Wadau,
Tushirikishanae wenye uzoefu na wanaojua saikolojia ya mwanamke anaepanga kukupiga kibuti, me kuna dalili zifuatazo nimeziona kwa mpenzi wangu
1. Amekua mkali sana, nikimuuliza jambo lolote...
Mimi ni mwanaume naishi kahama shinyanga mwenye miaka 39 mi mweusi sio sana ni mlefu wastan tu sio mnene wala mwembamba dini yangu mwislam situmii kilevi chochote
Natafuta mwanamke wa kuishi nae...
Huu ni wakati mabadiliko mengi ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii hutokea. Mabadiliko ya kibailojia yanayoleta kubadilika kwa homoni hupelekea kuanza. Wavulana huanza kuota...
Kumekuwa na ubishani kwamba yupi ni sahihi kuoa au kuolewa nae kati ya mtoto wa shangazi, mtoto wa baba mdogo, mtoto wa kike wa baba kwa mwanamke mwingine na mtoto wa kike wa mama kutoka kwa baba...
UPENDO
Ndoa lazima iwe na upendo usio na mipaka Kwa pande zote mbili, (unconditional love) ukiingia kwenye ndoa Kwa kumpendea mtu kitu fulani siku hiko kitu kikiwa hakipo upendo utaota mbawa...
Wadau sitaki kuongea sana..
Wewe unaonaje apo kati ya kulea mtoto na kusimamia gari lako unaloliendesha kila siku ni kipi kinakuwa na gharama kubwa?
Inategemea na gari...sawa!!sema kulingana na...
Wanawake mnatakiwa mjue kitu kimoja unapotongozwa usilinge na kujiona wewe mzuri sana wengine huwa wanachukua mazoezi wasije feli pale wanapo kutana Na watoto wakali,
Sijui kama tumeelewana...
Sometimes life huwa linakwenda vile ambavo hatutarajii but one of the biggest strength of human being lies on is friendship, ndo maana kila unapokwenda unajitahidi kupata rafiki hata kama ni mgeni...
NASEMA...
Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma...
Sio wamama wote ila Ni wale ambao Wana vaa nguo za kimtego mtego nikikutana nao sijui huwa natoa ujasiri wapi wa kuwakonyeza na kuwatabasamia.yaani MUNGU anisaidie Sana niache hii tabia nimekuwa...