Habari za mchana wakuu,
Kuna rafiki yangu ambaye hana bahati ya kupendwa na mtu wa dini yake. Wakati anasoma chuo alibahatika kupendana na kijana mmoja ambaye alikuwa tayari kufunga ndoa na huyo...
Kwa mlio na kumbukumbu, j'5 kama sikosei nilileta ka- thread ambako niliwaomba ushauri kuhusu bi dada flani hivi anaekuja(ga) kuweka pesa kazini kwangu..
Sasa basi leo nikiwa natoka church, mara...
Wanawake huwa mnawamiss wapenzi wenu ambao mmetengana kutokana na sababu mbalimbli zilizopelekea kuwa mbali na mwenzako.
Je huwa mnawatafuta kwa kuwapigia simu au ni sisi wanaume tu ndo...
Hapa nitangulie kusema kwamba, binafsi nimeuelewa sana utafiti uliofanywa na Maprofesa wa Idara ya Sosholojia ya Chuo Kikuu cha Chicago!
Kwa ufupi utafiti huo unasema kwamba uhusiano unaoanzia...
Habari za muda huu Wakuu? Binafsi wakati nipo darasa la 2 niliwahi kulala kitanda kimoja na Dada mmoja ambaye kwao kulikuwa jirani Sana na kwetu,Wazazi wangu walisafiri wakawaomba majirani zetu...
Kwa muda mrefu nilikuwa namuhudumia shida zake zote nazitatua, tangu ijumaa nilikuwa naumwa na ana taarifa zote, jana kaniomba hela ana shida nimemwambia kwa leo sina (yaani jana ) si anajua...
Ulikuwa unampemda, ulikuwa na malengo nae na ulitamani sana siku moja aje kuwa mke/Mume wa maisha yako,ulijitolea kwa kila kitu, ulipoteza muda wako ili tu kila siku umuone akiwa na Furaha...
Nilijifunza kutoka kwa m1 wa marafiki zangu wa karibu, i would like to share the lesson.
Akiwa 4th yr (finalist) pale CoET, huyu jamaa alikua very smart darasani, he knew playing the cards both...
Sitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.
Mwanaume hautakiwi kulazimisha...
Umetoka shule kwa likizo. Umefika nyumbani unamkuta mama, unamuuliza mama, baba yuko wapi anakujibu yuko kazini.
Muda mwingi uko na mama ako tu. Ni siku ya Jumapili, baba anaingia chumbani kwako...
Habari wadau! Mimi ni kijana wa miaka 27, Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Natamani nimpate mchumba wa kizungu lakini sijui nianzaje.
Nahitaji awe wa rangi (race) zote Dunianiisipokuwa Mwafrika...
Nataka niachane na mpenzi wangu Mimi ntamchana ukweli kuwa Hali imekuwa ngumu kwa Sasa Sina muda kabisa na mapenzi Niko busy kutafuta hizi Mia mbili Mia mbili sangapi nitawaza mapenzi..anisamehe...
Poleni na majukumu wakuu
Huu uzi wa kutupia maneno yeyote ya mapenzi yawe ya kuomba msamaha au kusifia yawe matamu yanayomvutia yeyote katika hali yeyote
Nimeamua kufanya hivi ili kuwasadia...
Leo ngoja niwape somo husasani wanaume. Wanaume wengi wanadhani kwamba kwenye mapenzi ni ngoja tega nikurenge. Lakini ukweli ni kwamba wanawake pia huathirika na matatizo ya tendo la ndoa...
Wadau,
Niko na mchumba wangu ambae anakatabia ka kuomba sana hela, je hii tabia ni kiashiria kibaya kiasi gani katika ndoa?
Anafaa kuoa?
Je Mwanamke kupenda kuomba hela wakati ana kazi ina athari...