Yajue matatizo yanaothiri tendo la ndoa kwa wanawake

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,153
1,359
Leo ngoja niwape somo husasani wanaume. Wanaume wengi wanadhani kwamba kwenye mapenzi ni ngoja tega nikurenge. Lakini ukweli ni kwamba wanawake pia huathirika na matatizo ya tendo la ndoa. Nitaandika kwa kifupi kabisa

Kuna matatizo makubwa manne yanayowakabili kina mama kunako sita kwa sita

Tatizo la 1.
Kukosa hisia. (Low sexual desire)
Najua umewahi kusikia mwanamke anasema mimi nipo nipo tu. Yaani nipate mwanaume, nisipate kwangu ni sawa. Huyu hana hisia kabisa. Neno la kiswahili rahisi ni kukosa nye…(sijui nyegezi)

Tatizo la pili
Matatizo yanayohusiana na kushindwa kupata utamu au kupata utamu zaidi.
Katika tatizo la kushindwa kupata utamu mwanamke anaweza kuwa na hisia, lakini mkifika kitandani utachezea huku na huku, lakini mama hasisimuki. Atakuambia mwenyewe hasikii chochote. Wengi huwa wana kuwa wakavu

Tatizo la tatu
Maumivu wakati wa tendo
Kuna wanawake wengine, atakuambia anasikia kitu kama pili pili kimepakwa yaani jamaa akijaribu kupenya tu, maumivu yake ni hatari

Tatizo la nne
Kushindwa kufikia kileleni
Hapa mwanangu mashine inakuwa imeiva lakini kitonga haipandi. Haipandi kabisa.

Itaendelea…...to be continued!
 
Hatari sana chalii.
 
Kuna ukweli, kusimamisha tuu hakutoshi kwa mwanaume, unatakiwa ujue pia namna ya kumkoleza mwanamke.

Nashukuru nliowapitia huwa wanaomba tena na tena hata km tumeachana
 
Back
Top Bottom