digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,888
- 14,328
Hamjambo waungwana,?naomba kuwasilisha maada.
Wakuu kuna jambo linanitatiza kidogo,Niko katika ndoa kwa miaka kumi sasa nikiwa na watoto wawili.
Kiufupi Mimi huwa napenda sana kujua afya ya familia Yangu,hivyo hunilazimu kupima Mara kwa Mara
Juzi nilienda kupima blood group(kundi la damu) ya katoto kangu ka pili ambako ni kakiume ,Mimi group langu la damu ni B+ wakati la mama watoto ni 0+ ,sasa mtoto yeye baada ya kupimwa ilionekana kuwa ni AB+,
Je wataalamu Wa haya masuala hili jambo linawezekana kwa wazazi kuwa na kundi tofauti la damu na mtoto wao?
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app