Kwa Jambo hili nastahili SIFA au KUFA

Kwa Jambo hili nastahili SIFA au KUFA

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Katika pita pita zangu leo hii

Nikakutana na bint mmoja ambaye hapo awali tulikuwa tunakaa jirani lakini ameshahama huu mtaa. Bint yule sikuwa na mazoea naye wala sikuwa na mahusiano naye, ila alikuwa na mazoea na demu wangu mmoja hivi.

Leo aliponiona akanisimamisha na kunisalimia, kisha akaniuliza FULANI YUPO (yule demu wangu) mi nikamwambia hapana kwasasa amesafiri mara moja.

Akajisemesha ghafla
"DUH NITAMUIBIA" yaani kama nisinge kuwa nimeolewa ninge muibia

Duh.

Wakuu mpaka hapa nikaelewa moja kwa moja bint huyu amenielewa, lakini alipotamka suala la kuolewA

Mimi nimamfariji kwa kumwambia kuwa YAANI LAITI USINGEKUWA UMEOLEWA UNGENIFAA , ingawa najua asingekataa lakini nikajitahidi pamoja na ushenzi wangu lakini nikajikaza kutomtaka ili kumuheshimu huyo mwanaume mwenzangu aliyemnusuru huyu bint.

Swali kwenu.

Je? Kwa kadhia hii wakuu, nimekosea? Au nipo sawa?

Natarajia mapovu.
 
Hukuchukua picha Mkuu? Picha ingependeza

Hivi una habari hata kunguru akikuta mzoga wa kunguru mwenzake anachukua
 
Je kama ilikuwa ni utani mkuu maana yaweza kuwa umewaza mbali

Ni mimi mume wake
 
Tatzo litaanz Akitafuta namba na kukupigia, trust me utasahah kuwa tulikusifia hapa na kukupa asilimia mia kwa usmuzi sahihi.

Over.
 
yaan sisi binadam wa sikuizi hatumuogopi mungu yaan mtu anamuogopa mume wake et ningekuwa sijaolewa angetenda dhambi lakin kwasababu kaolewa atendi yaan amesahau kwamba wakumuogopa ni mungu sio ndoa
 
Katoa mada katakuwa kanajilaumu muda huu....hii bahati haitakarudia tena.
 
Back
Top Bottom