Wadada punguzeni njaa!

Wadada punguzeni njaa!

Hahaahahaha aisee huyo anaebeba hadi sukari nimemnyooshea mikono[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwao katoka hakuna kitu,kaenda kwa bebe kaona chochote kitu si anaona afueni abebe maana anajua akiomba hela akanunue anaweza asipewe jomoniii😂😂
 
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnatakaje etii???

BURE GHALI jomoniii,.[emoji13]
Wanataka kumiliki wanawake bila kuwahudumia ....wanaacha kuoa wanajikabidhi halafu hawahudumii sasa sijui wanawaza nini......


Wenzao zamani ukiona mwanamke unatuma mshenga anaenda kutoa posa unaoa unatulia zako home kimya hakuna sijui kala sukari yangu Mara chunvi hakuna ...

Sikuhizi hawafati taratibu wanajibebea wenyewe kiholela wanakuja kulia lia huku ......





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wadau mnawachukuliaje wanawake wanaokuja gheto wakiona sukari, tambi, shati zuri, simu, pafyumu, saa au chochote kizuri wanataka?

Kwani mimi nilonunua sina shida? Wadada punguzeni njaa.

Hata kama mtu alikuwa na mpango nawe anakuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ni starehe na starehe ni gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom