Wanaume kuweni makini na chini, msichanganye usaha na ute!

squirtinator

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
2,765
Reaction score
4,193
Habari za jioni.
Nimesikia 'madogo' fulani kituo cha mwendokasi wakati wakisubiri basi nami nikisubiri, nkutokana na kuwa karibu nao kieneo niliweza sikia mazungumzo yao.

Walikuwa wakijisifu baadhi yao kuwa wako vizuri sana ktk foreplay na wanawake.

Walidiriki kusema huwa wanawalowanisha kabisa wanawake kwa kuwachezea na ulimi mpaka wanatoa ute mzito utadhani mkojo.

Nilishikwa na kinyaa nikataka niwaambie hatari wanayokumbana nayo ila nikachuna. Ukweli ni kwamba ute wa mwanamke chini huwa na rangi ya angalau kama ya maji isipokuwa unakuwa mzito kidogo.

Ukiona ute mwingi alafu mweupe kuna hatari unalamba usaha.

Kuweni makini, hata kwenye kugegeda ukiona ute mzito mweupe mwingi kupita kiasi hapo mazee unacheza na usaha tu.

Muwe na uwezo wa kutofautisha usaha na ute, mtaishi maisha marefu laa sivyo magonjwa yatawakuta pia.
 
Three pastors met & agreed to sincerely tell each other their problems which must be kept a secret between the three of them.

The first pastor said; my problem is money l do steal even from the church offering. Please pray for me. The second pastor; mine is women. Whenever l see any woman my desire will be to go to bed with her, infact l have slept with most of the church (female) members.

Turning to the third pastor to hear his problem he started crying (it took his friends some effort to calm him).

When they asked him to continue, he was still crying, he said my problem is gossiping, when we leave this place everybody will hear all what the two of you have just told me. Please pray for me! The two pastors fainted
 
Mkuu kwanza unaujua usaha ,,mkuu usaha unanuka balaa,hivyo acha watu wafurahie uumbaji wake mora

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo usaha usionuka, unasababishwa na fangasi, kwa sehemu zenye joto kali kama Dar karibia kila mwanamke anao, nakupa pole inawezekana umekunywa mwingi sana kama lita kadhaa za maziwa mgando, mtoa mada yuko sahihi kabisa.
 
Three pastors met & agreed to sincerely tell each other their problems which must be kept a secret between the three of them.

The first pastor said; my problem is money l do steal even from the church offering. Please pray for me. The second pastor; mine is women. Whenever l see any woman my desire will be to go to bed with her, infact l have slept with most of the church (female) members.

Turning to the third pastor to hear his problem he started crying (it took his friends some effort to calm him).

When they asked him to continue, he was still crying, he said my problem is gossiping, when we leave this place everybody will hear all what the two of you have just told me. Please pray for me! The two pastors fainted
Hahaa haha haaa .... kwa hiyo mtoa mada ni huyo pastor wa 3 !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni.
Nimesikia 'madogo' fulani kituo cha mwendokasi wakati wakisubiri basi nami nikisubiri, nkutokana na kuwa karibu nao kieneo niliweza sikia mazungumzo yao.
Walikuwa wakijisifu baadhi yao kuwa wako vizuri sana ktk foreplay na wanawake. Walidiriki kusema huwa wanawalowanisha kabisa wanawake kwa kuwachezea na ulimi mpaka wanatoa ute mzito utadhani mkojo. Nilishikwa na kinyaa nikataka niwaambie hatari wanayokumbana nayo ila nikachuna. Ukweli ni kwamba ute wa mwanamke chini huwa na rangi ya angalau kama ya maji isipokuwa unakuwa mzito kidogo. Ukiona ute mwingi alafu mweupe kuna hatari unalamba usaha.
Kuweni makini, hata kwenye kugegeda ukiona ute mzito mweupe mwingi kupita kiasi hapo mazee unacheza na usaha tu.
Muwe na uwezo wa kutofautisha usaha na ute, mtaishi maisha marefu laa sivyo magonjwa yatawakuta pia.
Wanalamba fangas bhana punguza ukal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo usaha usionuka, unasababishwa na fangasi, kwa sehemu zenye joto kali kama Dar karibia kila mwanamke anao, nakupa pole inawezekana umekunywa mwingi sana kama lita kadhaa za maziwa mgando, mtoa mada yuko sahihi kabisa.
Aah bhana so wote wanafangas bwana sema watu bhana bas ingekuwa unamlamba mkeo afadhal ndo kwanza wamabalehe wao wako bize na uvinza jaman kizaz hk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom