ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,883
- 60,914
Siku hizi watoto wa mjini wameibuka wamevamia nguo za wanaume kwa Kasi
Walianza t shirt za kiume
Wametengenezewa suruali za jeans wanavaa
Sasa hivi wameamia kwenye raba zetu.wamezigeuza mitoko yao mnazingua Sana vaeni kikike ndo maana mwisho wa siku mnadai hatuna Tena msisimiko na nyie wakati nyie wenyewe mnaiga mapigo ya kiumeni.