Niseme, nisiseme???

Niseme, nisiseme???

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,990
Reaction score
16,173
Wakuu mimi nina karama, nataka niifanyie kazi ipasavyo.

Karama yenyewe niya kukosoa jamii, hususani mambo yanayohusu hili jukwaa letu pendwa kabisa.

Ladies wote nawapenda sana,

Napenda bongo iwe na totozi safi kabisa, kuanzia maumbile hadi tabia, muhimu kukubali kujifunza na kubadilika.
But naona baadhi wananikatisha mood hiv.

For development tia like, na kutoa maoni yako.

By Saint Suriya
 
[emoji444][emoji444][emoji444]Wape wape eeeh vidonge vyao..wakimeza wakitema ni shauri yaooo[emoji444][emoji444][emoji444]
Huu wimbo tunaujua wahenga tu
 
Haya bhana
[emoji444][emoji444][emoji444]Wape wape eeeh vidonge vyao..wakimeza wakitema ni shauri yaooo[emoji444][emoji444][emoji444]
Huu wimbo tunaujua wahenga tu
 
Back
Top Bottom