Hakika ni mateso bila ya chuki kuwa na mchepuko.
Simi isiite,
Meseji isiingie.
Presha juu juu.
Yaani hakuna hata raha ya maisha kwakweli.
Simu ikiita usiku, ukaipokelee bafuni tena mke akiwa...
Habari wana MMU;
Leo katika pita pita zangu huko na huko gafla nilikutana na manesi wa hosptali fulani ya serikali,wao walikuwa kwenye zoezi la upimaji wa virusi vya ukimwi kwa wanawake...
Kwa maoni yangu naona napata raha sana wakati wa msuguano nikiwa nagegedana na wala si wakati wa kufika kileleni. Nyie wenzangu wakati gani mnapata raha?
Wadau pombe imekua ikinitesa mda mrefu sasa,imenirudisha sana nyuma kimaendeleo,wanawake wananikimbia na wakati mwengine nashindwa hata kufanya kazi zangu pia network zinakata na najikuta natukana...
Habar zenu wakuu
Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga
Nilikua napata tafakar kuhusu...
Kumekuwa na imani nyingi sana potofu kwenye mapenzi kwamba ukidate na mtu muda mrefu unamchoka unatafuta mwingine.
Jaman hizi habar sio za kweli zipuuzwe, mimi nilikuw ni mhanga na hapo before...
Wadau mwanamke anayeingia kwenye ndoa na mume wa mtu nakuhakikisha mke halali achwe uolewe wewe.
Mke wa mtu ateswe wewe ufurahi wewe ninani unazaa na mume wamtu unajiita mke wa mtu na wewe.
Hivyo...
Epuka kujifikiria mara mbili mbili ndugu... Usione huruma wanawake wanabadilika kama kinyonga...Roho ikikuambia acha, piga chini nakuambia piga chini faster hakuna kuremba.
Kuna manzi ilibidi...
Naandika haya nkiwa na huzun kubwa,naomba tu nijitambulishe kuwa mm si mfanyakaz wa umma ila kwa kwa mtizamo wangu ulio chanya kabixa naona kuna underground movement kubwa especial kada ya ualimu...
Ni miaka kadhaa karibia mlongo mmoja kwenye ndoa, watoto wawili wa jinsia zote Mungu kajalia tumewapata.
Nyumba na Gari vyote tumejaaliwa katika ndoa yetu, Biashara inakuwa kwa kasi sana kiasi...
Hakika nawaambieni sisi wanaume kwa hizi Barbershop kuzikimbia inataka kama kuwa ngumu hivi?
Kwanza hawa kina dadaz wa Saloon za kiume wameteka sana soko then wanapenda sana Tip. Yaani imekuwa...
Habari wanajamiiforum wenzangu
Natumai mnaendelea vizur na ijumaa kuu na nawatakia na pasaka njema na tulivu
Niende kwenye mada aisee msela wangu si kampoteza mpenzi wake (demu wake) walikua na...
Sifa ni zake mwenyezi Mungu anayetujaalia afya njema mimi na wewe.
Vijana wenzangu ambao bado hatujaoa na tuna malengo ya kuoa naomba tuhakikishe kabisa kabla ya kuingia kwenye maisha ya ndoa tuwe...
Najua vijana wengi wamekata tamaa ya kuona kutoka na challenges zinazotokea. Lakini napenda kuwaosia hii sio wanawake wote ni capable kuolewa ni sawa na maisha ya kawaida haiwezekana wote tukawa...
Habari waungwana, nipo na uchumba na binti wa kikongomani, nahitaji kufunga nae ndoa, naomba kujua utaratibu ulivyo kuanzia mwanzo hadi ndoa. Kwa Desturi za kibongo na za kwao, kwa wajuzi.
Miaka iliyopita niliweka thread humu kwamba waalimu shule ya msingi ndo wanafaa kuolewa na ndo wanaolewa sana.
Ulimwengu wa digital umeingia kila mtaa hao waalimu wa shule ya msingi au secondary...
Juzi nilikutana na binti mrembo maeneo ya rangi3 akanipa namba leo Ndo tulipanga kukutana katika restaurant moja apa rangi3 inaitwa taweed restaurant.
Mda wa kukutana ulipofika nikajongea cha...