Taarifa: Madanguro haya ni hatari kwa afya yako

Taarifa: Madanguro haya ni hatari kwa afya yako

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari wana MMU;

Leo katika pita pita zangu huko na huko gafla nilikutana na manesi wa hosptali fulani ya serikali,wao walikuwa kwenye zoezi la upimaji wa virusi vya ukimwi kwa wanawake wanaojiuza kwenye madanguro.

sikutaka kujua stori nyingi zaidi pale ila niliwauliza eehh ripoti yenu inasemaje kwa ufupi sana walinitajia madanguro yafuatayo;

1.Double kebini kwa wahaya TANDIKA pale maambukizi ni nusu nusu;

2.KIGAMBONI kalibia wote wameathirika wakiwemo na wakenya wanaojishughulisha na kujiuza

3.KINONDONI maambukizi ni nusu kwa nusu

4.MANZESE maambukizi ni nusu kwa nusu



Jamani tulizana na umpendae,kama hujao tulia kabisa.
 
utulizane vipi wakati wakati galz ni umiza vichwa bora kununua tu 2000 yako kila mpira ushikao
 
Habari wana MMU;

Leo katika pita pita zangu huko na huko gafla nilikutana na manesi wa hosptali fulani ya serikali,wao walikuwa kwenye zoezi la upimaji wa virusi vya ukimwi kwa wanawake wanaojiuza kwenye madanguro.

...........sikutaka kujua stori nyingi zaidi pale ila niliwauliza eehh ripoti yenu inasemaje kwa ufupi sana walinitajia madanguro yafuatayo;

1.Double kebini kwa wahaya TANDIKA pale maambukizi ni nusu nusu;
2.KIGAMBONI kalibia wote wameathirika wakiwemo na wakenya wanaojishughulisha na kujiuza
3.KINONDONI maambukizi ni nusu kwa nusu
4.MANZESE maambukizi ni nusu kwa nusu



.......Jamani tulizana na umpendae,kama hujao tulia kabisa.......

Danguro la kigamboni ni balaaaa,unapata huduma ndani ya chumba cha mtoa huduma!
 
YAani bado wAishi kuamini madanguro loh
 
ningekuwa sina mpenzi ninaye mwamini na yeye anajiheshimu, binafsi nayaamini madanguro kuliko hawa wanawake wa mitaani ambaye unasex nae kavu kumbe tayar alishaungua LAKINI wanawake wanaojiuza hasa hao wenye vyumba vyao wanaongoza kwa kutumia kondom kuliko wanawake wa chuo.

Ukisema hao wanaojiuza ni nusu kwa nusu maana yake ni kwamba wa chuo ni robo tatu kwa robo. am telling you
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom