Hakuna faida yoyote wewe jinyonge tu ufe wala hakuna hasara ila kuna faida ya rambirambi kwa waliobaki.Kwa mfano mtu aliyekufa akiwa na miaka 50, mwingine akafa na miaka 80. Baada ya wote kufa...watakuwa wanafaida au hasara gani?
Mengi amekufa na mengiKwa mfano mtu aliyekufa akiwa na miaka 50, mwingine akafa na miaka 80. Baada ya wote kufa...watakuwa wanafaida au hasara gani?
Uzi wako siuoni tena.Mengi amekufa na mengi
Wameuchoropoa?Uzi wako siuoni tena.
Kitambo sana, nyuzi zimefutwa nyingi sana za hayati machache siku ya jana.Wameuchoropoa?
Harafu leo naona nyuz nyingi zinachoropolewa mana kila nkifungua zinagoma hazipoKitambo sana, nyuzi zimefutwa nyingi sana za hayati machache siku ya jana.
Kuna kitu najua hakipo sawa. Sitii neno.Harafu leo naona nyuz nyingi zinachoropolewa mana kila nkifungua zinagoma hazipo
Kuna kitu najua hakipo sawa. Sitii neno.
Has been confiscated for unknown reasons [emoji25]Uzi wako siuoni tena.
Life is an illusion... Life has no meaning, hakuna sababu ya kwanini tunaishi!? Wala tunaishi ili iweje sasa?Kwa mfano mtu aliyekufa akiwa na miaka 50, mwingine akafa na miaka 80. Baada ya wote kufa...watakuwa wanafaida au hasara gani?
Kuishi muda murefu kunafaida ila kwa ratio kama ulizoweka hizo.
1) muda mrefu unapata muda wa kustuka na kumrudia mungu endapo mungu akikujaaria.
2)kula mafanikio yako, kwa mtu kama mengi faida kwasababu anaspend mafanikio yake.
3)kupata muda mrefu wa kuwawekea misingi na utaratibu watoto wako.
Sad, there is always a reason.Has been confiscated for unknown reasons [emoji25]
Simaanishi faida kwa watu waliobaki, ila faida kwa wale waliokufa. Yaani aliyekufa na 40 na aliyekufa na 80 baada ya kufa nani ana faida na nani ana hasara na ni zipi?Kuishi muda murefu kunafaida ila kwa ratio kama ulizoweka hizo.
1) muda mrefu unapata muda wa kustuka na kumrudia mungu endapo mungu akikujaaria.
2)kula mafanikio yako, kwa mtu kama mengi faida kwasababu anaspend mafanikio yake.
3)kupata muda mrefu wa kuwawekea misingi na utaratibu watoto wako.