UKIMPENDA KWA DHATI HUWEZI KUMCHOKA!!

UKIMPENDA KWA DHATI HUWEZI KUMCHOKA!!

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,510
Kumekuwa na imani nyingi sana potofu kwenye mapenzi kwamba ukidate na mtu muda mrefu unamchoka unatafuta mwingine.

Jaman hizi habar sio za kweli zipuuzwe, mimi nilikuw ni mhanga na hapo before sikuwai kuwa na history ya kudate na demu zaid ya miez3 ila saiv nko na bibie tunaenda 10 months ila hata chembe za kumchoka sion wala sisikii

Yani daily mapenz ndo yanaongezeka kwake, na mzigo nakula napotaka ila utamu daily unaongezeka. Kweli nmeamin ukiamua tulia unaweza na wala hutamchoka mpenzi wako, yan daily unamwona mzuri.

Vijana tunakumbushana kuwa na mahausiano serious ukibugi hapa uko mbelen utapata tabu.
 
Miezi 10 bado si kipindi kirefu cha kupima upendo wako dhati kwake...
Kama umempenda kwa dhati basi ingekuwa ni zaidi ya mwaka...
 
kaa miaka miwili kwanza ndio urud ufungue uzi tena
 
Yani mkuu miezi kumi tu ndo mda mrefu??nilikaa na demu 5 years aisee...mwisho wa siku nikala kona.
 
Back
Top Bottom