Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari wadau.. kwa seke seke la msiba wa mengi.. nimeamini ule msemo adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. mitandaoni ni drama tupu.. zikianzia kwa dada Mange wa majuu.. na hizi drama wanawake...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Sitaki Demu
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako. Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
9 Reactions
90 Replies
5K Views
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya Jumamosi mwaka 2015 siku ambayo niliamua kuachana na mtu niliependana nae kwa Dhati kabisaa huku nikijiapia nitakuwa Play boy milele na kamwe sitapenda kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar za asubuh wapendwa. Mi sio mwenyeji kwenye hili janvi ila nimekuwa msomaji mzuri wa post na comments za wadau. Nimeona kwa kipindi kirefu watu wanasifia sana zinaa nikataka kujua kupitia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ladies nyuzi za natafuta mpenzi huwakosi kabisa. Ndoa jaman ndoa,,, Mambo yamebadilika sana, mfanye Wosia/ misemo, iyanze kutengenezwa jaman kwa mabinti wanao balehe, Mabibi mnafall...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana JF. Poleni kwa msiba na mvua kwa ujumla. Wadau shule na exposure ya maisha zimetubadilisha wengi katika njanja nyingi za maisha. 1. Wanaume wengi wameacha au kupunguza kuwapiga...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani hili limenitokea Mimi binafsi, iwe kazini kwako jirani yako, au mwanamke yeyote. Ukiona anakuchukia sana ujue anakupenda! That's why unakuta anakufuatilia sana, Hata humu jamvini...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Message…habari wakuu nimerudi.tena.kwa.upande wa.mahusiano.nimeitimisha.naona.hayapo.kwa.ajili yangu.lakini.kuwa.mama.ni.baraka.hivyo.natafuta mbaba.mkaka.anaeishi na watt...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam. Nakuja hapa kwa mara ya kwanza, Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nilikutana na huyu dada kipindi nimemaliza chuo, sikua nikimpenda tangu mwanzo kwani nilijua kabisa si mtu wa hadhi yangu. Lakini kwakua nilikua na shida na nilimuona kama mtoaji niliamua...
22 Reactions
161 Replies
18K Views
Habari zenu GT! Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni Mwanachama wa chaputa mtiifu sana kwani sijaweza kukiacha chama changu.Sasa tatizo linalo nipata saa hizi ni kwamba nikiwa najipa utamu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu je wajuwa nyumba yeyote Ile za warabu lazma wawe Na zezeta umoja ndani ?? I mean wale warabu matajiri labda nyumba za warabu masikini ndo hawana zezeta kwenye familia ...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi. Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu. Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani. Nimhitimu katika chuo cha veta. Tofauti na...
5 Reactions
124 Replies
18K Views
Natafuta mume, mkristo29-35
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Naandika huu Uzi nikiwa moja kati ya watu wenye experience na mkoa wa kagera. Kwa Mara ya kwanza nilifika mkoa wa kagera mwaka 2015. Wanawake(wahaya) sio watu wa mchezo kwenye kuanza mahusiano...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji danga Call +255 65 876 6140 or 0766 225 904 kwa maelewano Usipige wala kunitafuta kama huna hela Moods msifute uzi huu pls nashida ya hela ndo maana
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Mwanamke kujiamini bla bla za nin? Jiamini Na Jikubali Hivyo Hivyo Ulivyo; ujiambie wewe kuwa ni mzuri na unaweza kupata aina ya mwanaume yeyote ile unayemtaka. Kujiamini ni kitu chamuhimu sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu,nmeipata video ile ndefu kabsaa ile,kwakwel mim kwa uzoefu wangu ,africa na Tz hakuna mtu mwenye jeur et afanye editing kitu kama ile.kiukwel wanaoamin ni editing siwalaum,tunatofautina...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Maneno ya Mungu kama ilivoandikwa katika kitabu cha wakorinto. 1 Corinthians 12:14-26 [14]Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi. [15]Mguu ukisema, Kwa kuwa mimi si mkono...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…