kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Wakuu Leo zitambue tofauti za kitabia Kati ya mwanaume na mwanamke hizi hapa chini
Mwanamke hawezi kukupenda bila sababu ya msingi Wana sababu za kukunok, lakini mwanaume yeye ni kiumbe cha Ajabu anaweza penda mke bila sababu yeyote Ile hii ni kwa sababu wanawake wanaongozwa na hisia lakini wanaume wao hutamani tu ndio Maana Wana uwezo wa kupenda pasipo na sababu.
Mwanamke anaweza kumfanyia mwanaume vituko mwanaume akavumilia tu siku nyingi Sana lakini mwanaume yeye anapokuja kujibu mashambulizi mwanamke dakika Ile ile anahisi anaonewa anasahu Kua yeye ndie mwanzo wa vurumai zote, hapa wanawake kueni makini mwanaume akikuchoka hapa umkalishe vikao chini ya Adolf hitila hawezi geuza msimamo
Wanaume hawana uwezo wa kuvumilia kubaki na upweke ndio Maana akiona nyumbani hapasomeki tu siku Ile ile plani yake kutafuta mchepuko pembeni ajifariji lakini mwanamke yeye anauwezo wa kuvumilia unaweza mkawa na vurugu nyumbani sio rahisi atoke nje ya ndoa upesi upesi.
Zingine zinakuja wakuu................. Ama unaweza floo hapa chini
Sent using Jamii Forums mobile app