Nandy tunasubiri ukweli wa maneno yako

Nandy tunasubiri ukweli wa maneno yako

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
1,887
Reaction score
1,623
Kwenye wimbo wako wa Ninogeshe kuna maneno yanayosema 'Ukizikwa nizikwe na wewe ' ..'Nikizikwa uzikwe na mie'..mbona hatukuona utekelezaji wake wakati wa tukio la karibuni? Au ulikuwa unatania?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom