kwanini unafumba macho wakati wakumake love?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,378
Reaction score
19,271
naona kama inatokea tu bila kupanga ila nahisi sababu ni kama ifuatavyo kwangu mimi
1.aibu tu...hii kitu haizoeleki(styl yoyote mi macho nafunga)
2.huwa ni giza kwa hiyo hata nikifungua macho sioni chochote(imagne umemuoa mtu anajua kufanya mapenzi ni usiku tu hahhahahah)
sijasema watu hufumba macho lakini hii kitu naiona kwangu
je wewe hufumba macho ni kwanini
 
Hamna lolote ni ushamba na unafiki wa mademu wa kiafrica......kijifanya eti wanaaibu wakati aibu yakutongoza na kupiga mizinga hawana
 
Ukiona mwanammke anafumba macho wakati wa kugegedwa, jua hujamfikisha, so anavuta hisia ya mtu anayemfikishaga ili amalize. Mwanamke anayefikishwa kileleni lazima atakuangalia usoni.
 
hahahahaha sio kweli bana.au
 
Husaidia kuvuta hisia ni kama unavyoomba
naona kama inatokea tu bila kupanga ila nahisi sababu ni kama ifuatavyo kwangu mimi
1.aibu tu...hii kitu haizoeleki(styl yoyote mi macho nafunga)
2.huwa ni giza kwa hiyo hata nikifungua macho sioni chochote(imagne umemuoa mtu anajua kufanya mapenzi ni usiku tu hahhahahah)
sijasema watu hufumba macho lakini hii kitu naiona kwangu
je wewe hufumba macho ni kwanini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom