Shamba bora kwa mazao bora.

Shamba bora kwa mazao bora.

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
64
Reaction score
70
Habari zenu wana Jf.
Nimekuwa nikijiuliza kwa nini mama anapewa sifa sana kuliko baba?
Leo nimekuja na majibu ya shamba bora kwa mazao bora.
Hapa nimetafakari sana nikagundua kuwa watu wote wanaweza kuwa na mbegu ila wachache sana wanaweza kuwa na shamba. Mbali na kuwa wachache lakini bado humo humo kuna wachache sana wenye mashamba bora.
Baba anamtegemea sana mama ili kufanya mbegu zake zimee.
Hongereni akina mama kwa kuleta mazao bora.
 
Back
Top Bottom