Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Inakuaje unakosa nguvu za kiume au umerogwa,Mimi hapa sijafanya mazoezi mwaka wa nne huu,navuta Sana sigara pakiti moja kila siku na ganja nyingi,pombe siku moja moja( mimi na pombe Ni vitu viwili tofauti)lakini kwenye game kama kawaida napiga bao nne au tano kwa wife,kwa mchepuko nakazia bao tatu na condom then narudi kwa shemeji/ wifi yenu napiga bao nne au tano nalala,sasa nashangaa watu wanafeli wapi,
Nimeandika Uzi huu baada ya kushuhudia jamaa mmoja ananunua dawa kwa mmsai ubungo hapa yeye anasema akipiga bao mbili tu hawezi kuendelea,ni kwamba watu wanarogwa au vipi???au ni kwamba sijui wanakutana na wanawake gani, unashind waje kumfikisha mwanamke kileleni,mimi sinaga mbwembwe sijui kupiga deki, mimi nikigusa tu kabla sijafika lazima demu akojoe tena na vilio kama mia nane, achaneni na maviagra sijui vumbi la congo,tumia vumbi la congo ukiwa una miaka 75 huko