Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake msikasirike sisi wakina Pablo bila kuchepuka hatupati usingizi usiku, yafuatayo ni maswali na kauli za kijinga kutoka kwa michepuko yangu 1. Naomba na mimi uninulie Noah nyeusi Kama ile...
8 Reactions
104 Replies
9K Views
Kwa mwezi wa pili sasa ninahangaika kupata Condom. Nilizoea kuzipata duka la jirani na pharmacy za jirani. Ghafla zikaaza kutoonekana jirani. Nikadhani ni uzembe wa maduka ya jirani nikaja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumeibuka wanawake wanaotaka kuwa juu ya mwanaume, kisa tu wanamiliki majumba kwa sasa au wanamiliki mikwanja mirefu. Kama ni uhusiano nakuhakikishia hautadumu na hii ni kwa sababu mwanamke...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo. 1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi...
15 Reactions
162 Replies
32K Views
http://www.fikrapevu.com/mambo-13-yatakayokusaidia-kukamilisha-furaha-katika-maisha/
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika dunia ya sasa ma single mothers/single fathers(fathers wasojua majukunu yao) wanaongezeka kila kukicha, tena ni vibinti /vijana vidogo tuu, kuna shida kubwa kwenye jamii zetu kwa sasa. kwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Dear Wife to Be. Ningekupost hapa lakini unajichelewesha mwenyewe, mimi niko tayari hata leo. Tatizo simu hutaki nikupigie, unaweka standard ambazo zimevuka mipaka. Sasa mimi nifanyeje.? Text...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU. Baada ya mke wangu kugundua mimi ni mlevi wa mpira,yani kwa sasa nashindwa kumuelewa ana maana gani,wakati mahitaji yote. Alhamisi niliporudi kutoka kazini,mke wangu...
0 Reactions
58 Replies
12K Views
Mtaishi wapi baada ya ndoa na kwanini (Where will you live after marriage and why?)
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukweli nikiri kuwa kwangu mimi Uchumi umeyumba Sana, Lakini Alhamdulillah pesa ya kula watoto inapatikana. Mke wangu katika kiduka chake mambo yanaendelea hapa na pale anapata chochote lakini mmh...
13 Reactions
28 Replies
5K Views
Mpo poa? Rafiki yangu amempata mchumba wakaanza urafiki walipendana sana na wameonana usidhani hawaonani . Basi kuna siku kaomba aje mahali mpenzi wake kamuita wakala wakafurahia hiyo siku. Ila...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndugu wa na JF habari ya chrismass !! Nimatumaini yangu mko Salama salimini na bila Shaka mmesali na mko safi majumbani kwenu Kama ilivyoelezwa nahitaji kuanza MWAKA 2019 kwa tofauti sana Mm...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kawaida nina mchumba Ila tuko now parallel. Niko naomba msamaha sana ili kuishi naye kwa amani hata simu hapokei. Najaribu kuonesha mapenzi ya dhati ila hajali maumivu yangu. Tafadhali...
3 Reactions
85 Replies
6K Views
. One of the most delicate relationship problems is the issue of EX LOVERS. Keeping a close contact with your EX is not advisable if you have started another relationship. Also friendship with an...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Duu maisha yapo speed sn.Nipo na mshkaji ana bagain bei na bi mdashi.Kaambiwa 5000 chap,daah ningekuwa mdau wa mambo haya ningefaidi sn.God forbid.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana. licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa...
9 Reactions
145 Replies
10K Views
Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu kwa...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…