Mke wangu ananifumbia kwa nyimbo ya Baba Swalehe

uroto

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
438
218
Habari zenu wana MMU.

Baada ya mke wangu kugundua mimi ni mlevi wa mpira,yani kwa sasa nashindwa kumuelewa ana maana gani,wakati mahitaji yote.

Alhamisi niliporudi kutoka kazini,mke wangu aliniambia kuna nyimbo anaipenda inaitwa Baba swalehe,na akasema ina ujumbe sana,mimi nikaunga hoja.

ijumaa nimerudi home mida ya saa9 alasiri,nlivyofka tu,akaiweka hyo nyimbo,ikawa inajirudia had saa 12 jioni nlipoondoka.

Jumamosi niliporudi tena toka kazini baada ya salaam akaiweka nyimbo ya Baba swalehe,mpaka mda naondoka kwenda kuchek mpira.

Jana sijaenda kazini,tangu asubuhi akawa ameiweka hadi mda naondoka,niliporud baada ya salaam akaiweka tena.

Leo mida ya saa4 asubuhi mi nikiwa kazini akanitumia sms eti nimrushie nyimbo ya baba swalehe.

Kwa maelezo hayo,huyu mwanamke ana maana gani?
karibuni.
 
sasa labda utuambie huo wimbo una mawaidha gani, yaani huyo baba swalehe anasemwa kwa lipi, hapo tutajua tufanyahe
 
habari zenu wana Mmu

baada ya mke wangu kugundua mimi ni mlevi wa mpira,yani kwa sasa nashindwa kumuelewa ana maana gani,wakati mahitaji yote

Alhamisi niliporudi kutoka kazini,mke wangu aliniambia kuna nyimbo anaipenda inaitwa Baba swalehe,na akasema ina ujumbe sana,mimi nikaunga hoja

ijumaa nimerudi home mida ya saa9 alasiri,nlivyofka tu,akaiweka hyo nyimbo,ikawa inajirudia had saa 12 jioni nlipoondoka

jumamosi niliporudi tena toka kazini baada ya salaam akaiweka nyimbo ya Baba swalehe,mpaka mda naondoka kwenda kuchek mpira

jana sijaenda kazini,tangu asubuhi akawa ameiweka hadi mda naondoka,niliporud baada ya salaam akaiweka tena

leo mida ya saa4 asubuhi mi nikiwa kazini akanitumia sms eti nimrushie nyimbo ya baba swalehe,

Kwa maelezo hayo,huyu mwanamke ana maana gani?
karibuni
Ebu weka mistari yake mkuu manake mie sana Taarab na pia sio za kisasa zile za Njiwa peleka salam kwa yule wangu muhibu....
 
Unafwatana na rafikiiii daily utadhan unabalehe.

Kumbe wewe ni baba vick,yeye mwenzako baba swaleh.

Acha kuishi kibachelor ndani ya nyumba utaleta maseke.

Hahaaa utakuwa unaangukia kwenye hivi virusi.
 
Ebu weka mistari yake mkuu manake mie sana Taarab na pia sio za kisasa zile za Njiwa peleka salam kwa yule wangu muhibu....

sio taarabu kiaz wewe 😂😂😂😂 Umeimbwa na Nick wa Pili, n wimbo mzuri sana na unaujumbe mzito, usiombe kuitwa baba salehe
 
Back
Top Bottom