Ananiona mjinga sana nifanyeje na ninampenda

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,587
Reaction score
466
Kama kawaida nina mchumba Ila tuko now parallel. Niko naomba msamaha sana ili kuishi naye kwa amani hata simu hapokei.

Najaribu kuonesha mapenzi ya dhati ila hajali maumivu yangu.

Tafadhali naomba msaada mimi nafanyaje wadau haya mapenzi yakoje?

Nisingekuwa naomba msamaha kadhalika ningeonekana sifai

Niko naomba msamaha ndio ananiona mimi dhaifu sana nifanyeje jamani.

Nawasilisha.
 
Umefanya nini mpaka unaomba msamaha?!

Wakati mwingine tuwe tunakubaliana na ukweli tuu, huyo hakupendi! Hakuna neno kubwa kama kusema nisamehe, angekuwa anakupenda angeona thamani ya hilo neno!

Tafakari, chukua hatua!
 
Kwa mwandiko huo utakuwa wa kiume.
Hebu mute kwanza kwa sasa, mpe muda kama ni hasira zipungue.

Lakini pia kwa kumpa muda nawe utakuwa unajipa muda kujitafakari na kuyatafakari mahusiano yenu. Dont try too hard, wakati mwingine inakuwa ni kero.
 
[emoji106]
 
Amina

barikiwa
 
Hapana mm nilikuwa nje ya nchi nafika hapa Tz nakutananaye vizur siku ya tatu akawa ananijibu shortly so ndo nikaanza kujua kunatatizo nikimuuliza haniambii.
 
Unatoka nje Ya nchi kufika tu Tz siku Ya tatu unaanz kulilia mapenz bro mi nazan huu ulikua muda mzur wakufungua uzi kutuelezea fursa zilizopo nchi uliotoka!?
 
Back
Top Bottom