Nitaenda kuomba kibarua huko kwa alibaba
Sisi sio watu wa kuzalisha vitu / mawazo mapya ndio maana chochote kitokacho West au Far East tunakipokea kama kilivyo.Mhh.. huyo nae anapenda "wogorowogoro" tuu,.wabongo tusimsikilize huyu jamaa tutazidi kuwa masikini...chaaa!!!
Kwanza shoo ya mbongo/niggas na hao wachina sijui wazungu ni tofauti,.
Nitaenda kuomba kibarua huko kwa alibaba
Poa nitaomba nafasi mbili kakaUsinisahau kaka
Poa nitaomba nafasi mbili kaka
Ndio kaka.. Kutoa msaada kwa watakaoshindwa kutimiza lengoKatika sekta ile pendwa ya chikichichikichi bila shaka kkkh
[emoji108][emoji123][emoji120]Utakuwa umefanya jambo la maana sana....
Shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenuHii mbinu ndiyo iliyo muangusha raila odinga kwenye uchaguzi zilizopita.
Shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu View attachment 1105980