Manyunyuyote
Member
- Feb 1, 2017
- 66
- 39
Kwa mwezi wa pili sasa ninahangaika kupata Condom. Nilizoea kuzipata duka la jirani na pharmacy za jirani.
Ghafla zikaaza kutoonekana jirani. Nikadhani ni uzembe wa maduka ya jirani nikaja kugundua tatizo limeenea eneo lote na kikweli maeneo mengi ya D'Salaam maduka hayana condom.
Sijajua wengine mmeionaje hii hali lakini kama itaendelea hivi basi mimba zisizotarajiwa na ukimwi vitaongezeka.
Hebu leteni mawazo yenu.