katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Mpo poa?
Rafiki yangu amempata mchumba wakaanza urafiki walipendana sana na wameonana usidhani hawaonani .
Basi kuna siku kaomba aje mahali mpenzi wake kamuita wakala wakafurahia hiyo siku.
Ila baada ya hiyo siku kuna mtu anamuandikia message za vitisho eti achana na mme wangu.
Halafu niile namba ya yule mpenzi wake simu hapokei ila namba hiyo ndio anayotukanwa nayo.
Siku moja simu ikaita kuangalia ni yeye akaamua kupokea oh naomba unisamehe kuna mtu alinikomoa akakupea hayo maneno yote machafu baadae tena akaanza tena kumtukana tena na message za vitisho anapata sasa ameamua kumdelete kila mahali .
Nakublock kwa social medias sasa anamuandikia message nakumtishia tu sasa naombeni mumumshauri