Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Kila Aguswaye na Penzi Huwa Mshairi" - Plato, . . My dearest Evelyn Salt , . . . I LOVE YOU! . I love you like the last meat in the pot, Yaani ninakupenda kuliko mchaga na noti. . . I love you...
16 Reactions
210 Replies
12K Views
Leo ndo weekend inaanza na kama kawaida viwanja kwa jiji letu la dar ni vingi ila kuna kile uwezi kutamani kuacha kwenda na hela yako unayotumia eneo hilo unaona kabisa haijapotea....naomba...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, mama mwenye nyumba ananisumbua anataka nimgegede, ameniambia nisipomgegeda atanipandishia kodi. Ushauri wenu unahitajika, nimgegede au niache? Baadhi ya marafiki zangu wamenishauri...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Wazazi 1. Baba. Maandiko Matakatifu yanampa mume na baba jukumu la kuwa kiongozi na kuhani wa familia. (Kol.3:18-21; 1Pet.3:1-8). Anakuwa mfano wa Kristo, kichwa cha Kanisa. “Kwa maana mume ni...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Namjua baba yangu,ila kutokana sababu ambazo siwezi kuzisema hapa baba yangu akaachana na mama na akanikana mimi milele. Tangu hapo nikaacha kutumia majina ya baba nikawa natumia majina ya mjomba...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari wana jamvi! Nije kwenye mada husika.Mwanaume ana mke halali wa ndoa, ana kimada kakipangia chumba,ana mchepuko wa kudumu,ana girlfriend lakini bado anazidi kutogoza na kuwatamani wanawake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu naamini mmeshinda salama baada ya mizunguko ya siku. Basi nisiwachoshe Sana niende Moja kwa Moja kwenye mada husika. Naomba mwenye sms za Kimahaba atupie hapa tuone anavyompa demu...
3 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu hali, Siku moja nikiwa nasafiri kuelekea nyumbani mkoa nilikaa siti moja na mke wa mtu ambaye alimsindikiza hadi kwenye basi na akahakikisha basi limeondoka ndipo akarudi kwao. Baada tu...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanawake msikasirike sisi wakina Pablo bila kuchepuka hatupati usingizi usiku, yafuatayo ni maswali na kauli za kijinga kutoka kwa michepuko yangu 1. Naomba na mimi uninulie Noah nyeusi Kama ile...
8 Reactions
104 Replies
9K Views
Kwa mwezi wa pili sasa ninahangaika kupata Condom. Nilizoea kuzipata duka la jirani na pharmacy za jirani. Ghafla zikaaza kutoonekana jirani. Nikadhani ni uzembe wa maduka ya jirani nikaja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumeibuka wanawake wanaotaka kuwa juu ya mwanaume, kisa tu wanamiliki majumba kwa sasa au wanamiliki mikwanja mirefu. Kama ni uhusiano nakuhakikishia hautadumu na hii ni kwa sababu mwanamke...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo. 1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi...
15 Reactions
162 Replies
32K Views
http://www.fikrapevu.com/mambo-13-yatakayokusaidia-kukamilisha-furaha-katika-maisha/
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika dunia ya sasa ma single mothers/single fathers(fathers wasojua majukunu yao) wanaongezeka kila kukicha, tena ni vibinti /vijana vidogo tuu, kuna shida kubwa kwenye jamii zetu kwa sasa. kwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Dear Wife to Be. Ningekupost hapa lakini unajichelewesha mwenyewe, mimi niko tayari hata leo. Tatizo simu hutaki nikupigie, unaweka standard ambazo zimevuka mipaka. Sasa mimi nifanyeje.? Text...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU. Baada ya mke wangu kugundua mimi ni mlevi wa mpira,yani kwa sasa nashindwa kumuelewa ana maana gani,wakati mahitaji yote. Alhamisi niliporudi kutoka kazini,mke wangu...
0 Reactions
58 Replies
12K Views
Mtaishi wapi baada ya ndoa na kwanini (Where will you live after marriage and why?)
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…