Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa...
Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu kwa...
KWELI DUNIANI KUNA MENGI. Nimekutana nahii aisee nimetoa machozi.......!!!
Alimpenda mno mke wake, alijitahidi kumpa mkewe kila kitu kilochopo ndani ya uwezo wake, lakini mke wake hakuwa...
Ni kweli sifa kuu ya Mwanaume ni kumtunza mke wake na watoto, lakini Mwanamke pia anatakiwa kumsaidia mpenzi wake mambo yakikwama, Dunia ya sasa imebadilika.
Ni hivi
Nimekuwa na mahusiano na...
Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu kwa...
Umefika wakati na sisi tunahitaji ndoa za mikataba wa kipindi kifupi, ambapo wanandoa wataweza kuongeza muda au kuvunja mkataba. Hii italeta changamoto kwa wanandoa ili waweze kufanya vizuri...
Mambo wadada ( rafiki Zangu)
Kidogo naomba tukumbushane wajibu wetu katika mahusiano.
Najua hakuna asiyependa mahusiano yake au maisha yake ya kimapenzi yaende Mrama.
Sote tunapenda...
Na amini dunia ilikuwa sehem salama Ila alipo letwa mwanamke mambo yote yakawa yalivyo Sasa,
Kuwa mama Bora,sikufanya wa toto wamchukie baba yao, Bora kuishi Na mwanamke -MALAYA Ila sio mchawi...
Mfano ukiwa na girl friend wako au ukiwa na mkeo ni aina gani ya utii mwanume anahitaji mke wake awe nao kwake, kuna mambo ambayo wanaume hawapendi waulizwe akiulizwa tu anasema huyu mwanamke sio...
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana...
Mwanaume au mwanamke wa kweli ni yule anayemlinda na kumtunza mwenza, Je ni kweli na tunafanya hivyo? kivipi, wengine tunakuwa makatili na kuwaumiza wengine mnaonaje tubadilike au tuachane kabisa...
Habari za asubuhi wakuu.
Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi.
" Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,nifanyeje?"
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume na wababa mpaka wazee wanaosumbuliwa na nguvu za kidume.
Hii ni kutokana na lifestyle ya siku hizi kwamba hadi wanaume unakuta wanakula vyakula ambavyo...
Waungwana napenda mnipe ushauri juu ya jambo hili kwani, tangia nimegundulika kuwa nina Maambukizi ya Virus( HIV) kwani mpenzi wangu amekuwa haturiia nyumbani na si kawaida yake hapo nyuma kuwa na...
Ukitaka kujua kama mkeo au mpenzi wako .kama anamapenzi ya dhat #1. Ukiendanae baa hawezi ket katka kiti bila kukusogezea kiti ww #2. Mkiingia hoteli hawezi kula bira kukurisha japo kijiko kimoja...
Kama wewe ni mwanaume tafadhari sana acha kazi zote kwa sasa uje kwenye hichi kikao cha dharura,
Sio fea kwa kweli tunakoelekea kwa sasa hawa viumbe wanazidi kutuchezea Rafu tusipoangalia na...
Ndugu wadau, numejiuliza sana kuhusu hili suala. Kila mtu utasikia hakuna kama mama, na hata nyimbo maalum zimetungwa kwa ajili ya kumfanya mama kuwa mtu spesheli.
Lakini je, kwanini baba naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.