Wakuu,
Nilikuwa nimegombana na shemeji/ wifi yenu kama nusu saa iliyopita kwa jambo ambalo halikuwa kubwa sana lakini kila mtu akawa off mood.
Basi katoto ketu ka mwaka mmoja kalikuwa kamelala...
Kutongoza binti wa kiafrika ni sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani;majukumu yote ya wazazi wake au yale ya kwake utaamishiwa wewe, haijalishi kama ana kazi au hana kazi.Nashauri vijana...
‘Elimu ni ufunguo wa maisha.’ ni usemi wa enzi utumikao kuhamasisha watu wapate elimu. Katika miaka ya hivi karibuni shule zimekuwa nyingi sana zenye kufundisha mambo mengi na kila mzazi anataka...
Mwezi Februari mwaka huu tulipokea simu toka shehia moja (jina tunalihifadhi) ambapo jirani alitueleza kisa cha kijana kumlawiti mwenziye mwenye ulemavu wa macho ilihali yeye ndiye muangalizi wake...
Wakubwa poleni na majukumu,
mimi nipo apa guest kwa mala ya kwanza ndo nipo na demu iv ila sasa kasema nivae modo
sasa ndo nipo najiuliza je nikifika dukani niulze nn maana naogopa kusema nahitaji...
Jaman jana nilkuwa na apointment na she fulani. muda tarajiwa ulpofika nikawanashangaa mtu hajibu sms wala hapokei simu. unajua niliudhika ila mwisho wa siku nikamshukuru mungu kwa kuniepusha na...
Wana Jamiiforums kumradhi kama humu jamvini kuna watoto.Hebu ujikumbushe enzi zile ulianza kuonja penzi na nani.
Mimi mara ya kwanza kukutana na mwanadada huko soni Lushoto nikiwa form 3 tukiwa...
Kwa utafiti wa Tanzania Kuwa watu wengi Wana matatizo ya akili inawezekana Ni kweli Sasa Kama Ni kweli inaonekana ukizaa watoto wanne wanaweza kutokea watatu au wote wakawa na akili ndogo Sasa hio...
Sisi wanaume tumeandikiwa kula kwa jasho, na lazima tuwahudumie wapenz wetu ipasavyo, kama ni hela lazima tuwape hamtakiw kuteseka kifedha hata kidogo.
Pia mwanaume kufanya mapenz kabla ya ndoa...
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje...
#Nina miaka 26
#Masters degree holder
#Tutorial Assistant katika moja ya University hapa Tz
Namtafuta mchumba awe:
#charming person
#age 19-23
#Christian
#Awe humble
#Atleast awe na elimu hata...
Habari ya jumamosi.
Ni jamaa yangu mmoja akaniambia ebhana ee nataka nijilizishe kama shemeji yako hachepuki. Nikamuuliza why, akasema yaani naona siku hizi yuk busy na simu sana hadi anapoteza...
Wakuundugu...kuna ile mtu unavokua una imagine uje kuwa nan,lets say,Dr..pilot.engeneer etc...
Sasa hapohapo watu huwa wana imagine mademu/wanaume wanaowish waje kuwa nao wakioa,
Kwa mfano...
Habari zenu wana JF! Jamani leo tena kuja kwenu ili kubadirishana mawazo juu ya swala zima la mahusiano. Ni miaka kadhaa sasa nipo kwenye mahusino. Ila kinacho nishangaza ni kuwa sijawahi kudumu...
Tunakwama wapi ukiingia kwenye daladala unakuta wanawake Ni wengi Kuliko wanaume hata katika vituo vya daladala na maeneo yote mitaani mpaka NYUMBANI kwenu wanawake Ni wengi Kuliko wanaume.
Lakini...
Huyu mwanamke nilikutana nae miaka 8 iliyopita ,alikua na mwili wa wastani kabisa na nilienjoy penzi lake kwa kila style niliyomuweka
Sasa baada ya kupata kazi ya mshahara mnono na kuzaa tena...