Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago
Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time...
Mimi ni kijana wa miaka kadhaa sijaoa lakini nilikua na mpenzi ambaye sasa tumetengana kwakua kaolewa na mwanaume mwingine. Iko hivi mwaka juzi mpenzi wangu alipata nafasi ya kwenda chuo, mimi...
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi
Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu...
Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto...
Nina mpenzi wng ambae tulikuwa tunapendana sana, ni mwanamke ambae amekuwa akinionyesha maana halisi ya upendo wa dhati, amekuwa akinipenda na kuniheshimu sana tu na hatujawahi kugombana tangu...
Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina.
Kimapana na kimarefu huwezi.
Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi...
Kanisa la Free Church chini ya Mchungaji Masanja Mkandamizaji limeandika historia mpya ya kipekee baada ya kushuhudia uchumba ulioacha wengi midomo wazi na wengine wakibaki na mshangao.
Kauli...
Dada wa kazi wa jirani alikuwa mrembo sana. Binti mashallah ustadhati kabisa.
Nilizoeana naye ilibaki kidogo tu ni mueke ndani kama mke.
Naamini alinisubiria nimtakie kwamba nitamuoa ila...
Yaani unakuta demu akija geto gas yote inaisha utadhani alikuwa anapika Makukuru[emoji41]
Bajeti ya wiki mbili unatumia siku moja dah
Nina hasira ntamalizia kuandika
Usipofanya hivyo kuna hatari ndo ikajaa migogoro mingi na kuishia kuachana kwa fedheha. Hawa manabii/mitume/wachungaji uchwara huteka akili za kina mama kiasi kwamba mwanamke humwona mumewe kama a...
Habarini,
Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda...
Habarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ?
Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani...
Juzi kati nimepata mualiko wa kushiriki katika kikao cha upatanishi wa jamaa yangu mmoja na mkewe, mambo yaliyo endelea hapo ni ajabu kwa kweli, mke analia hadi machozi anadai kwamba mumewe hajari...
Piga picha au video na wazazi wako. I promise you siku moja utashukuru ulifanya hivyo.
Kumbukumbu zetu na watu wa karibu hufifia akilini, lakini picha huhifadhi matukio hayo ya thamani milele...
Wakuu habari za nyie...
KWa hakika siku hazigandi, na hawakukosea walivyosema "What goes around comes around"!
Vile tunavyowaonaga ndugu upande wa Baba miyeyusho hasa mashangazi, tunavyowaonaga...
Kuna wakati inatokeaga kama ajali mtu usiye mtarajia akaja kuwa rafiki wa muhimu kwenye maisha yako.
Mm nilikutana na huyu jamaa kama kmteja tu na huu ni mwaka wa 5 amekuwa rafiki wa faida kwetu...
Kwal wae msiooa bado ujumbe wa leo ni huu.
Mwanamke akijiingiza kwenye siasa Realy kabisa ni sawa na mwanamke aliyetekwa na hawa manabii fake utalia kila iitwapo leo.
Mimi nimekuwa kada wa ccm...
Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba.
Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.