Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno. Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka. swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki...
43 Reactions
297 Replies
11K Views
Kwenye harakati zako za kufukuzia mrembo, ulitumia muda gani mrefu kumpata Demu? Mm binafsi nilimfukuzia Demu kwa kipindi cha miezi 4, tena alikuwa ananionesha dalili za kunikubalia. Yani ile...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari za muda hope mko poa Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila...
4 Reactions
94 Replies
3K Views
Miaka inasogea, teknolojia inapaa, lakini ndoa na mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanazidi kuyumba. Na hapa sina haja ya kuchagua maneno mazuri: hii siyo ajali ya ghafla, ni kosa la kurudia...
3 Reactions
2 Replies
463 Views
Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa...
18 Reactions
192 Replies
8K Views
Habari wana JF Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha. Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri...
4 Reactions
4 Replies
479 Views
WanaJF Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia. Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya. Wakuu kama kichwa Cha...
58 Reactions
444 Replies
17K Views
Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔 Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu...
58 Reactions
319 Replies
12K Views
Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka kadhaa sijaoa lakini nilikua na mpenzi ambaye sasa tumetengana kwakua kaolewa na mwanaume mwingine. Iko hivi mwaka juzi mpenzi wangu alipata nafasi ya kwenda chuo, mimi...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto...
3 Reactions
15 Replies
639 Views
Nina mpenzi wng ambae tulikuwa tunapendana sana, ni mwanamke ambae amekuwa akinionyesha maana halisi ya upendo wa dhati, amekuwa akinipenda na kuniheshimu sana tu na hatujawahi kugombana tangu...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina. Kimapana na kimarefu huwezi. Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi...
6 Reactions
30 Replies
772 Views
Kanisa la Free Church chini ya Mchungaji Masanja Mkandamizaji limeandika historia mpya ya kipekee baada ya kushuhudia uchumba ulioacha wengi midomo wazi na wengine wakibaki na mshangao. Kauli...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Dada wa kazi wa jirani alikuwa mrembo sana. Binti mashallah ustadhati kabisa. Nilizoeana naye ilibaki kidogo tu ni mueke ndani kama mke. Naamini alinisubiria nimtakie kwamba nitamuoa ila...
4 Reactions
21 Replies
954 Views
Yaani unakuta demu akija geto gas yote inaisha utadhani alikuwa anapika Makukuru[emoji41] Bajeti ya wiki mbili unatumia siku moja dah Nina hasira ntamalizia kuandika
30 Reactions
186 Replies
15K Views
Usipofanya hivyo kuna hatari ndo ikajaa migogoro mingi na kuishia kuachana kwa fedheha. Hawa manabii/mitume/wachungaji uchwara huteka akili za kina mama kiasi kwamba mwanamke humwona mumewe kama a...
29 Reactions
133 Replies
6K Views
Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom