Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba.
Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba...
Kwa upande wangu sipendi kuulizwa na mtu niliemuoa nikamleta kwangu na mahari nilimlipia, yaani nakuja kwangu nipumzike uniulize hivyo!
Hapana, nitajihisi kama umenidharau sana kama mtoto...
Posted by a life Dijest
Loving a person is not by force, its by choice, never make the mistake of forcing a person into loving you simply because you love them and you want them to love you in...
Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE.
Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama.
Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi...
Kuna kitu huwa nakiepuka sana! Kuvaa nguo zenye maandishi na michoro nisiyojua maana wala tafsiri yake.. Kwakuwa huwezi jua umevaa kitu kilichoandikwa nini na tafsiri yake ninini
Lakini zamani...
Nilianza uhusiano na huyu binti tangu nipo kidoto cha 3 hadi sasa nimemalizana na mambo ya elimu na nipo na harakati zangu mtaani, ukweli ananipenda sana hata mimi nampenda ila niwe muwazi siyo...
Kwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
Mume wa marehemu
DJ Brown anaandika
Nilipomfumania mke wangu (red handed) mara mbili na rafiki yangu kipenzi hakuwepo yeyote kunisaidia kutatua maswala yetu!
Kila nilipoleta maswala hayo...
Wakuu,
Nimekutana na video hii ya harusi ya watu wa kabila moja huko Nigeria, nimewaza sana kwa vyuma vilivyokaza sidhani kama wanaume wa Kitanzania hasa wa Daslam wangeweza.
Huu utaratibu uko...
Miaka ya 1990 kurejea nyuma, wanaume tulikuzwa na familia zetu kuwaona wanawake kama viumbe wa kuwalinda na kuwajali sana.
Hii haikuwa Tanzania tu bali ulimwenguni. Ukitazama filamu,wanaume...
Kwenye Bustani ya Edeni mshua adam alikubali kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya ambalo alipewa na mwanamke na akakubali kifo kiingie na mpaka leo TUNAKUFA, Mfalme suleiman alikuwa mtu mkuu...
Habari wana jamvi...
Natamani sana kupata msaada, uwe wa kimawazo, kisheria ama hata kiuzoefu tu katika hili ninalolipitia.
Miaka mitatu iliyopita, nilikutana na mwanamke fulani ghafla tu...
Kuna uovu mkubwa sana umejificha na unafanyika nyuma ya mahusiano ya kiholela ya nje ya ndoa lakini pia hata ndani ya ndoa. Uovu huu unahusisha mwanamke kuzaa na mwanaume kisha kutengeneza cheti...
Ebwanaee, hii ni Viagra kweli ya asili. Siku za karibuni niliona mziki umepungua kwa mke wangu, kutokana na kuwa bize kutafuta mkate wa kila siku, masomo n.k., nikaona kabisa kasi imepungua. Basi...
Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana
Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na...
Wakuu
Leo nilikua na off yangu,nikasema ngoja nishtue nyagi ndogo huku napiga taratibu na karanga za kukaanga.
Nikaona upweke unanizidia,
Nikachukua simu nikacheck mawindo yangu mawili matatu...
Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha.
Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako.
So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 22...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.