Achana na wale ma ex ambao tulikutana kwa maslahi mfano pesa au one night stands, kuna wale ma ex ambao tuliishi nao zaidi ya mwezi, hao ndio wnye sifa za kuitwa ma ex hasa wale tulioachana bila...
Naona kabisa hii sekta ikielekea kunishinda maana kila napoingia ni afadhali nilipotoka🥲
Au mimi sijaandikiwa kuwa na mwenza wa maisha, maana hii siyo hali ya kawaida kabisa kwa kijana mdogo kama...
Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi.
Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu...
Why?
Hawafeel wanaume[nisahihishwe]. Sasa kwanini wanatumia dildos[watasema just anything that can penetrate[lakini kwanini zimechongwa na kutengenezaa kwa uume unaofanana na wa mwanaume wasiemtaka!
Habari wana JF.
Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au...
Binadamu ana hulka ya kutosema ukweli hulka ya kutosema mabaya/madhaifu yake. Wengi wetu huvutiwa na lugha za watu hasa mnapoonana kwa mara ya kwanza.
Mapenzi kabla ya ndoa si kipimo halisi cha...
Habari za uzima wakuu, binafsi nashukuru kwa uwepo wa huu mtandao, kwani imekuwa ni sehemu ya kufarijiana, kutiana moyo pamoja na kupeana ushauri kwenye mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii...
Habari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni...
Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko.
Au mnasemaje wakuu?
Toka namfahamu huyu bi dada... Sijawahi kutumia mafuta wala mate. Kweli nakuambia akhi na mtumwee....
Yaani akija home au nikienda kwake au popote tukionana uchi wake unakuwa tayari umeshaloana...
Natumai wote mu wazima wa afya,.
But why am writting this?,. Why should i do this?.. Sina majibu mpaka sasa wakati huu ninavyoandika.....
Wacha niandike tu bhana huwenda nikapunguza mzigo...
1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered...
Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti...
Habari wana jamiiForums...
Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu...
Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada...
Nimekuwa nikijiuliza swali hii kwa muda sana! naomba wadau tujadili kwa pamoja Kwa Nini wanaume Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu? Na wengine utakuta anamke wake ila atatembea na mke wa...
Wakuu habari.
Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo...
Guys hakuna kutiki oktoba.
Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.
Bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.