Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani.
Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia...
Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Kijana aitwae Musa Shija (32) na kifungo cha miaka 30 jela Bi. Hollo Shija (36) kwa kosa la kujamiana hadi kupata...
Rasmi najiunga na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping!
kwanzia sasa wakurugenzi wa hii operation naomba mnitag popote mtakapokuwa mnazungumzia hili swala. We gotta save...
Hamjambo Wote!
Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake.
Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja...
Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni...
Jinsi ya kumuona mtu utakae muoa au kuelewa nae (DIVINATION)
Mahitaji/vifaa:
1: Apple jekundu
2: Kitana (sio chanuo)
3: Kioo
4: Chumbani peke yako
5: Muda saa 6-8 usiku
Ufafanuzi:
1...
Wakuu habari zenu.
Pamoja na ugumu wa mambo ya nchi yetu ningependa kutanguliza samahani kwanza hata mimi natambua tunayopitia hayaridhishi kabisa japo wachache wanufaika wanaona shwari tu...
Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa.
Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na...
Je amekupost mtandaoni?
Amekupost kukushukuru vile unavyotumia muda na gharama kumuhudumia na kumaliza changamoto zake?
Nauliza tena, amekupost kuuambia ulimwengu jinsi ulivyo mwanaume mwema...
Salam kwenu Wajumbe,
Agenda kubwa ni SHKAMOO!
Sote twajua kuwa linapokuja suala MAHUSIANO (MAPENZI) hasa pale unapoona kuna jimbo umelielewa huaga umri hautuzuii kutimiza malengo yetu (wanasema...
Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji,
Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji.
Siku nazungumza...
Mimi Sio mwandishi mzuri wa kiswahili lakini nitajitahidi nieleweke mada yangu.
Naenda kwenye maada
Mke wangu ninahisi ananisaliti ambae nmemuoa 2017 mpaka leo tuna watoto watatu, ndani ya mda...
Ccm oyeee!!!!!!!
Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho...
Habari za asubuhi wana MMU
Naleta kwenu mada. Tujadili tafadhali. Mwanaume afanye nini katika himaya yake ili kauli yake ndio iwe hitimisho la mijadala?
Mfano mdogo ni kwamba nimelumbana na wife...
Kulikuwa na bwana mmoja aliyeishi na mke wake, lakini siku moja wakazozana. Kama ilivyo kawaida wakati mwingine wanawake wakiwa na hisia kali, hasa wanapokasirika husema mambo mazito, mke...
Pamoja na kwamba tunaburudika na kuondoa stress za familia kwenye michepuko(nje ya ndoa) bado michepuko huwa ni msaada sana kwenye majanga au mahali ambapo unahitajika msaada wa haraka wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.