Heey Dadii...
You are the man I adore 🥰
Cherish and so on...
I like the way you treat me ....
I like the way you hold me....
I like the way you hug me...
I like the way you kiss me....
I like...
"My fiancé and I live together. I own the house (it’s paid off) and he pays me $500 a month. The bills for the house are very low and come out to about $300 a month, so essentially he’s paying...
Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika.
Sifa zake..
Umri miaka 22--35
Kabila lolote
Makazi-Dar es salaam
Akiwa mnene itapendeza zaidi
Rangi yeyote
Elimu kuanzia kidato cha 4
Mrefu au mfupi vyote...
Umeshawahi Kuwaza ARVs zingekuwepo Miaka ya 80,90 Mwanzoni wa 2000 zingeokoa Maisha Ya Watu wangapi. ?
Raymond Titus Nyagori, binamu yangu niliempoteza Kwa HIV miaka 16 iliyopita, Ray was smart...
Sina la kusema, Asante JamiiForums narudia tena asante JamiiForums you are great ooh! Mpaka nitaongea kichaga sasa Aikaa JF!
Guys JamiiForums is real if you are 100% real basi una fungu lako kama...
Hello my name is John am stay in Dar es salaam. Am search for girl who can be my friend first and later if God wish we can move to another level. She should be free of herself,age 25 and above...
Kumekuwa na kawaida ya kulipa mahari wakati wa kuoa. Mahari hiyo hulipwa na mwanaume kwa mujibu wa tamaduni za kiafrika.
Ulipaji huu wa mahari hufanya ionekane kuwa mwanamke ananunuliwa.
Sasa si...
Nahitaji kuwa na rafiki mmoja wa kike umri usizid 30 years mwenye focus nzuri ya kimaisha na mwenye kuona mbelee..!! Km uko interested nichek kwa 0652835872
Good morning guys,
Nijielekeze kwenye mada ya leo,
Kumekuwa na ulalamishi sana miaka ya karibuni kuwa wanaume sijui tupoje,tunawaacha bila sababu ila kumbe sababu zipo tu ila wengi hawajazijuaga...
Miaka ya zamani kipindi ninakuwa ilikuwa ukimtongoza mwanamke mpaka anakuja kukubalia basi unaweza kutumia hata miaka mitatu unafatilia jibu lako mpaka anakuja kukubaliaa.
Sio hivyo tuu...
Za kuamka wakuu,
Muda si mrefu nimetoka kuamka ile natoka nje tu Nimeopoa manzi moja makini ilikuwa hapo nje nyumba ya jirani sijui imefika lini,nimeipanga imeshapangika baadae itakuja gheto...
Hello everyone,
Mimi ni new member hapa. Nafurahi kujiunga nanyi. Ni Mtanzania japo nimeishi Ulaya tokea nikiwa mdogo na nina residence ya Ulaya na ya Tanzania pia. Nilikuwa na mchumba mzungu, ila...
Wanaume wengi huwa na sababu nyingi mbalimbali za kuoa. Lakini inawezekana ikawe moja au zaidi ya moja ambayo ni ya msingi. Mimi nlikuwa nazo kadhaa. Baada ya kuranda randa miaka kadhaa nikikataa...
Najitabiria kuwa sito oa wala kuishi na side chick au main chick kwa namna yeyote katika utafutaji wangu wa harakati za hapa na pale na mahusiano niliyo yapitia kama members wezangu si ta wahi...
Mimi kijana me Umri 20 to 25. Toka kubalehe kwangu 94% ya maisha yangu ni singo.
Nipo chuo pia nimejiajiri hivyo nina bize nyingi sana.
Pale nikipata muda wa kupumzika tu, huzuni ya upweke...
Jambo unalichukulia vipi wadau kuanza kumnunulia demu vi zawadi vya hapa na pale kabla hata hajakukubali kuwa boyfriend wake!?
Kwangu Mimi no cent hadi kieleweke!
Je?wewe unaweza?
Hivi ni kwanini akina dada hawapendi kutusifia sisi wanaume!?kwani sisi wanaume sio wazuri?hatunamvuto? hawatupendi? hivi ni kweli mwanaume anaestahili sifa kwa mwanamke ni mwenye pesa tu, !? Sisi...
Za Asubuhi Mazee..
Ukweli usiopingika sasa ivi kila ukienda sehemu ukiwa na sura nyororo kama akina Perfecto, Bob Junior, Ommy D n.k watu lazima wawe na mashaka na wewe hata kama sio kweli...
Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni...
SITAKI DAWA
Jumamosi, 25/06/2016
Nawaza nianzie wapi kuelezea kilichonikuta nashindwa, lakini hasa ni kukosa maneno ya kukielezea. Nimetamani nikae kimya, nisiseme, maana ninafahamika na wengi...