Habari wakuu
Kuna binti alikuja home miezi kadhaa nyuma baada ya kumaliza O level kwa ajili ya maandalizi ya Advance kwani alifaulu
Sasa baada ya kuzoeana alianza kuonesha interest tofaut tofaut...
Tuwe makini na wapenzi wetu,wengine huwa wanagundu...ukishakuwa naye tu, mawazo yako yote ya kimaendeleo yanafutika;kama ulikuwa unataka kuanzisha kiwanda kidogo,wazo linapotea na kujikuta...
Huu ni ushauri wangu wa bure kwa kina dada. Mwanamke unapaswa kuepuka haya makosa ambayo hua mnayafanya bila kutegemea au kwa kudhamiria na mwisho wa siku wengi wenu huishia kulia. Haya ndio...
Kichwa cha habari hapo juu chahusika,
natafuta kujua kama kuna vyakula ama vinywaji ,vinavyofaa kutumiwa na wapenzi muda mfupi kabla ya kushiriki katika tendo la "mapenzi",au "mahaba"ikiwa vyakula...
Habari za muda huu Jamii forums.
Kuna Baadhi ya mambo ambayo kwa Upande Wangu naviona vya kawaida sana lakini nashangaa watu wengine wakikisifia kitu ambacho nakiona cha kawaida hii inanipa...
SIMU/WHATSAPP: 0768571786
Ilikua asubuhi nzuri sana iliyojaa uchangamfu wa aina yake. Hali ya hewa ilikua rafiki kwa kila mtu, mawingu mazito yalitanda anga zima la jiji la Dar es salaam na...
Kuna wanaume ambao kiuhalisia wao huchukua kila mwanamke ili mradi tu kuwa ni mwanamke. na wanawake ambao pia hawana vigezo. hili ni tatizo. rafiki yangu "mashaka' yeye husema kwake hasa akiwa...
Wakuu habarini
Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week...
Yaani ni inamtaka babake kila dakika, hadi sasa nimesema kama noma na iwe noma. Mwenzangu nivumilie tu bado miezi 4 nitashusha inshaallah. Mtoto wa mwenzio ni mwanao.
Nimepata wazo leo wakati tukiwa tumejumuika vijana kikundi kidogo cha wakazi wa K-Nyama, tukizungumza na kupeana ushauri kuhusu maswala ya ndoa na nimeona nishirikishe moja ya ushauri wangu humu...
Nmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.
ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku...
Katika maisha Haya Ya Mahusiano, Nimejaribu Sana kwa Muda Mwingi Kuchunguza Swala La *Mahusiano ya Mume na ndugu zake Baada Ya ndoa*
Na, Mahusiano ya Mke na ndugu zake Baada ya ndoa.
Kitu...
Wakuu miezi km mitatu iliyopita nilikumbwa na janga kidogo liharibu ndoa yangu.
Ilikua hivi: Mi nakaa mbali kidogo na mke wangu, na mke wangu anafanya kazi Dar.
Sasa sisi wanaume wa Kolomije huwa...
SALAAM WAKUU.
*Aisee moyo mashine wazee!!!
♡Kwanza nilikuwa siamini kama bado kuna watu wanazimia kwa stress za fumanizi.
☆Kuna jamaa yangu (tunafanya kazi pamoja) nilipigiwa simu j.3 jioni...
Asee nilikuwa na ka demu kangu pale TPSC Tabora, mwaka 2010 kakawa kanafanya graduation, akanipa invitation,
Baada ya kufika tukasherehekea na jioni kuna ukumbi wa zamani mbele ya chuo, wenyewe...
Mke wangu amekua akisifiwa sana na mashost zake mpaka dada zake eti mumeo handsome afu Mimi nikijicheki najiona wakawaida tu lakin kumbe wakiniona wanalowesha chupi kudadeki