Epuka sana Mwanaume/Mwanamke ambaye hana vigezo Vya Kumpata Mpenzi anamkubali yeyote

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,257
Kuna wanaume ambao kiuhalisia wao huchukua kila mwanamke ili mradi tu kuwa ni mwanamke. na wanawake ambao pia hawana vigezo. hili ni tatizo. rafiki yangu "mashaka' yeye husema kwake hasa akiwa amekunywa mwanamke ni mwnamke ili mradi tu awe msafi na hachukizi. anashangaa kuna wanaume wanasem hawapendi wnawake wembamba au wanaume ambao wanasema hawapendi wanawake wanene.

anasema kwa yeye ili mradi ni mwana mke asiwe mchafu na asiwe na sura ya ku.... basi huyo anafaa "kuliwa" awe mwembamba au mnene, awe mweupe au mweusi.awe na degree au darsa la saba. aina hii ya wanaume anaweza akatembea na housegal au hata anygal outside there wanawake mnapaswa kuwa makini na wanaume hawa ambao wao husema hawabagui ,hawachagui maana atakayezizika nye** zao hawamjui" hivyo hujichukulia yeyote aliye mbele yao ili akazike nanii zao.

hali kadharika kuna wanawake ambao nao hawana vigezo zaid ya pesa tu. huyu anaweza tembea na babu yake, anaweza tembea na mtu kama baba yake na anaweza tembea na mtu kama mdogo wake. naye habagui hachagui....atakaye... hamjui. haya ni mambo ambayo yapo sensitive sana lakini watu hawataki kuyazingatia. mwanaume mzuri ni yule anayesema namtaka mwanamke mwenye sifa hizi..pamoja na uzuri wa tabia. unapokuwa kitandani hulali na tabia peke yake.

lazima ujue unavutiwa na nini..nini kinakusisimua. inawezekana kabisa kuna wanawake wanapenda wanaume wenye vitambi, kuna wanaopenda six pack, kuna wanaoependa wenye vipara,kuna wanaopenda wenye afro,kuna wanaopend weupe na wanaopenda weusi. hivi ni vigezo na vinaruhusiwa. hata ukitaka kununua gari si unasema nataka kununua bmw au nissan?kwani ni kosa? au ndo utasema gari ni gari ili mradi linatembea?
 
faktiles iyo
vigezo vnatofautiana m2 na m2 mwingine kigezo chake n mwanamke mwenye uke tu
mwingne tabia
 
Kweli mkuu kuangalia vigezo muhimu kwa maana kila mtu ana machaguo yake
 
Kuna wanaume ambao kiuhalisia wao huchukua kila mwanamke ili mradi tu kuwa ni mwanamke. na wanawake ambao pia hawana vigezo. hili ni tatizo. rafiki yangu "mashaka' yeye husema kwake hasa akiwa amekunywa mwanamke ni mwnamke ili mradi tu awe msafi na hachukizi. anashangaa kuna wanaume wanasem hawapendi wnawake wembamba au wanaume ambao wanasema hawapendi wanawake wanene.

anasema kwa yeye ili mradi ni mwana mke asiwe mchafu na asiwe na sura ya ku.... basi huyo anafaa "kuliwa" awe mwembamba au mnene, awe mweupe au mweusi.awe na degree au darsa la saba. aina hii ya wanaume anaweza akatembea na housegal au hata anygal outside there wanawake mnapaswa kuwa makini na wanaume hawa ambao wao husema hawabagui ,hawachagui maana atakayezizika nye** zao hawamjui" hivyo hujichukulia yeyote aliye mbele yao ili akazike nanii zao.

hali kadharika kuna wanawake ambao nao hawana vigezo zaid ya pesa tu. huyu anaweza tembea na babu yake, anaweza tembea na mtu kama baba yake na anaweza tembea na mtu kama mdogo wake. naye habagui hachagui....atakaye... hamjui. haya ni mambo ambayo yapo sensitive sana lakini watu hawataki kuyazingatia. mwanaume mzuri ni yule anayesema namtaka mwanamke mwenye sifa hizi..pamoja na uzuri wa tabia. unapokuwa kitandani hulali na tabia peke yake.

lazima ujue unavutiwa na nini..nini kinakusisimua. inawezekana kabisa kuna wanawake wanapenda wanaume wenye vitambi, kuna wanaopenda six pack, kuna wanaoependa wenye vipara,kuna wanaopenda wenye afro,kuna wanaopend weupe na wanaopenda weusi. hivi ni vigezo na vinaruhusiwa. hata ukitaka kununua gari si unasema nataka kununua bmw au nissan?kwani ni kosa? au ndo utasema gari ni gari ili mradi linatembea?
Mi ukiacha tabia napenda colour black na uwe serious sipendi wale wanaume wanaongea sanaaaa..yaan ata nkiwa kwenye daladala mkaka nkikaa nae siti moja afu hana habar namm ndo napenda sana..sio wale mara kakulipia nauli mara anachungulia nje dirishan story nyiiingi utadhan ananijua.
 
Kuna wanaume ambao kiuhalisia wao huchukua kila mwanamke ili mradi tu kuwa ni mwanamke. na wanawake ambao pia hawana vigezo. hili ni tatizo. rafiki yangu "mashaka' yeye husema kwake hasa akiwa amekunywa mwanamke ni mwnamke ili mradi tu awe msafi na hachukizi. anashangaa kuna wanaume wanasem hawapendi wnawake wembamba au wanaume ambao wanasema hawapendi wanawake wanene.
anasema kwa yeye ili mradi ni mwana mke asiwe mchafu na asiwe na sura ya ku.... basi huyo anafaa "kuliwa" awe mwembamba au mnene, awe mweupe au mweusi.awe na degree au darsa la saba. aina hii ya wanaume anaweza akatembea na housegal au hata anygal outside there wanawake mnapaswa kuwa makini na wanaume hawa ambao wao husema hawabagui ,hawachagui maana atakayezizika nye** zao hawamjui" hivyo hujichukulia yeyote aliye mbele yao ili akazike nanii zao.
hali kadharika kuna wanawake ambao nao hawana vigezo zaid ya pesa tu. huyu anaweza tembea na babu yake, anaweza tembea na mtu kama baba yake na anaweza tembea na mtu kama mdogo wake. naye habagui hachagui....atakaye... hamjui. haya ni mambo ambayo yapo sensitive sana lakini watu hawataki kuyazingatia. mwanaume mzuri ni yule anayesema namtaka mwanamke mwenye sifa hizi..pamoja na uzuri wa tabia. unapokuwa kitandani hulali na tabia peke yake.
lazima ujue unavutiwa na nini..nini kinakusisimua. inawezekana kabisa kuna wanawake wanapenda wanaume wenye vitambi, kuna wanaopenda six pack, kuna wanaoependa wenye vipara,kuna wanaopenda wenye afro,kuna wanaopend weupe na wanaopenda weusi. hivi ni vigezo na vinaruhusiwa. hata ukitaka kununua gari si unasema nataka kununua bmw au nissan?kwani ni kosa? au ndo utasema gari ni gari ili mradi linatembea?
Uzuri wa mwanamke umbo tabia mtarekebishana, uzuri wa mwanaume pesa sura mbaya mtavumiliana. Hapo vipi?
 
Hata huyo rafiki yako "mashaka" keshaweka vigezo vyake, ww tu hujatambua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom