Baadhi ya vitu naviona kawaida kwanini?

Baadhi ya vitu naviona kawaida kwanini?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Habari za muda huu Jamii forums.

Kuna Baadhi ya mambo ambayo kwa Upande Wangu naviona vya kawaida sana lakini nashangaa watu wengine wakikisifia kitu ambacho nakiona cha kawaida hii inanipa wakati Mgumu,

Mfano;
Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.

Labda kuna tatizo gani.

Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.

Karibu.
 
Sio wewe peke yako mkuu, binadamu wote tuko hivyo, wewe umetolea mfano kwenye mapenzi, mwengine atatolea mfano jiji la Dar ni sehemu anatamani walau afike siku moja aone inaonekanaje wakati wengine wanaona kawaida tu, na mwengine akikusikia unajisifia umepanda ndege atakushangaa sana maana kwake ni kitu cha kawaida sana
 
Sio wewe pekeako mkuu, binadamu wote tuko hivyo, wewe umetolea mfano kwenye mapenzi, mwengine atatolea mfano jiji la Dar ni sehemu anatamani walau afike siku moja aone inaonekanaje wakati wengine wanaona kawaida tu, na mwengine akikusikia unajisifia umepanda ndege atakushangaa sana maana kwake ni kitu cha kawaida sana

Unafikiri kwanini mtu asifie kitu zaidi.
 
Kwel binadamu tunatofautiana lakini katika maisha yako tokea past to now haukuwai kusifia kitu chochote kile ni kizur zaid ya chenzie iwe gari, mwanamke,nyumba, nguo, viatu etc?
 
kwel binadamu tunatofautiana lkn katika maisha yako tokea past to now haukuwai kusifia kitu chochote kile ni kizur zaid ya chenzie iwe gari , mwanamke,nyumba,nguo,viatu etc?

Sijawai kusifia kitu hata kiweje naona kawaida.
 
Habari za muda huu Jamii forums.

Kuna Baadhi ya mambo ambayo kwa Upande Wangu naviona vya kawaida sana lakini nashangaa watu wengine wakikisifia kitu ambacho nakiona cha kawaida hii inanipa wakati Mgumu,

Mfano;
Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.

Labda kuna tatizo gani.

Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.

Karibu.

Kwa mantiki hiyo kwako kila kitu ni cha kawaida?
 
Hivi nikichora Namba 9 katikati yangu nawe, wewe utaisoma tisa hivyo hivyo au kwako itakuwa 6? Nani yuko sahihi hapo, wewe unayeiona 6 na kweli nikija upande wako ni 6 au ni mimi ninayeona 9 na ukija kwangu ni tisa?... Nachomaanisha ni lazima tukubali kutofautiana na kuamini anachokiona mwenzako kiko hivyo kwake sio lazima tuwe sawa kimtazamo.

Ndg Apolinary kuona Kila kitu ni kawaida ni tatizo nionavyo mimi hasa likija kwa upande wa mahusiano yako ya kiundugu, kiurafiki/Mkeo/mchumba/watoto na jamii unayoishi nayo kila wakati.

Ukiona kila kitu ni kawaida ni ngumu kuwa na shukrani (Appreciation). Maana kuna mahali utategemewa uoneshe kutambua na kushukuru ulichofanyiwa au kilichofanywa lakini kwa kuwa kwako ni kawaida hutaweza kuona.... na kwa kuwa huoni, huwezi tambua na kushukuru.

Laba ukute kwenye hio ''kila kitu'' unachokisemea, hili halipo. Wakati mwingine kuona kila kitu kawaaida hutafsiriwa kama dharau/kujiona/kujisikia n.k n.k kulingana na namna unavyochukulia hivyo vitu.

Nikuonye tu, Kuona kwako kawaida usitake kila mtu aone uonavyo wewe wala usimshangae anayeona kila kitu sio kawaida.. Jishangae mwenyewe tu. Usijekuwa unabishana na watu kwa namna wanavyothamini vitu kwa binafsi yao. unaweza mpa mtu Shs 10,000 akaenda kutoa hadi ushuhuda mahali.. ila mwingine anapewa 25 Bilion anasema hela ya mboga, Je ni hela ya mboga hio (vijisenti)? We are equally same and different cc nabii mweusi

Sijawai kusifia kitu hata kiweje naona kawaida.
 
Last edited by a moderator:

Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.
Labda kuna tatizo gani.
Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.
Karibu.
HUKU HUKUPATA MSAADA??..BASI TATIZO LAKO NI KUBWA ZAIDI YA UFIKIRIAVYO..
Kupenda kukoje ?

Started by Apolinary, 20th July 2014 09:51

[h=3]Sina amani[/h] Started by Apolinary, 27th September 2014 13:15
 
Sio wewe pekeako mkuu, binadamu wote tuko hivyo, wewe umetolea mfano kwenye mapenzi, mwengine atatolea mfano jiji la Dar ni sehemu anatamani walau afike siku moja aone inaonekanaje wakati wengine wanaona kawaida tu, na mwengine akikusikia unajisifia umepanda ndege atakushangaa sana maana kwake ni kitu cha kawaida sana

Daaah, thanks bro! Ni kweli kabisa, wewe ona Makamba, Wasira, Membe, Lowasa, Pinda, Ngeleja wanahaha kugombania kuingia nyumba nyeupe pale, wakati kwangu mimi naona kawaida sana, yaani sana tu!
 
Habari za muda huu Jamii forums.

Kuna Baadhi ya mambo ambayo kwa Upande Wangu naviona vya kawaida sana lakini nashangaa watu wengine wakikisifia kitu ambacho nakiona cha kawaida hii inanipa wakati Mgumu,

Mfano;
Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.

Labda kuna tatizo gani.

Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.

Karibu.
Mkuu unachongea ni kweli lakini naweza kuwa tofauti kidogo na wewe, katika suala la mapenzi asikuambie mtu mkikutana wawili wote mko vizuri kugegedana kunakuwa na utamu wa hali ya juu sana. Kama wewe mwanaume una upungufu wa nguvu za kiume hili suala lazima ulione la kawaida sana, ila kama upo fiti na una ngvu za kutosha utaona sio la kawaida mana ni burudani ya asili
 
Hata hii thread yako wengine tunaiona ya kawaida tu...
 
Hata wewe pia utakuwa wakaida sana na utakuwa una matatizo labda.
 
Back
Top Bottom