scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
Jana binti yake na kagame aliolewa picha zinaonesha .lakini hapa kilichonivutia zaidi n kimo cha mkwewe kagame bw.betrand ,kwa anajemjua kagame n mrefu haswaaa sasa hyu mkwewe kamzid tena najaribu kuimagine sipat pcha
Turud kwetu kila mtu huwa anaupendeleo binafsi sipendi watu wafupi sitak kuelezea sana,sitak povu na uzi tyari
Turud kwetu kila mtu huwa anaupendeleo binafsi sipendi watu wafupi sitak kuelezea sana,sitak povu na uzi tyari