WANAWAKE ACHENI HII TABIA. INAKERA NA KUTIA KINYAA!!

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,281
Reaction score
7,474
Hii tabia ya kuweka hela kwenye vifua vyenu(matiti) siyo njema, inakera na inatia kinyaa sana NA PIA INACHAKAZA NOTI. Unakuta unamlipa mwanamke pesa anaikunjakunja anaitia kifuani na chenchi anakutolea hukohuko maziwani ikiwa imeloa mijasho na kutoa harufu..... INAKERA SANA HII TABIA.
 
Pyeeeeeeeeeeeeeeéeeeeee.😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
"inatia kinyaa"

Ila kwenye yale mambo akikupa huku hajaoga unayanyonya kama kawaida na chumvini unazamia kabisa.

Hauna tofauti na yule anayeona kinyaa kusuuza kikombe kwa bomba la bafuni akiAmini ni uchafu lakini anaweza kukinga hayo hayo maji kusukutulia mdomo anavyoswaki.
 
Sawa na mtu anayesema kuingia na kikombe bafuni au chooni ni uchafu bila kukumbuka kuwa ameingia na mdomo wake pia
 
Hii tabia ya kuweka hela kwenye vifua vyenu(matiti) siyo njema, inakera na inatia kinyaa sana NA PIA INACHAKAZA NOTI. Unakuta unamlipa mwanamke pesa anaikunjakunja anaitia kifuani na chenchi anakutolea hukohuko maziwani ikiwa imeloa mijasho na kutoa harufu..... INAKERA SANA HII TABIA.
Wengine wakiipata hiyo hela iliyotoka huko wanainusa na kuvutia hisia mkuu.... Kwa hiyo inaweza kuwa inakukera wewe tuu🙂
 
"inatia kinyaa"

Ila kwenye yale mambo akikupa huku hajaoga unayanyonya kama kawaida na chumvini unazamia kabisa.

Hauna tofauti na yule anayeona kinyaa kusuuza kikombe kwa bomba la bafuni akiAmini ni uchafu lakini anaweza kukinga hayo hayo maji kusukutulia mdomo anavyoswaki.
Nimekupa like boss
 
Wenzio hela hata mia tano ikidondoka kwenye choo wanaichukua sembuse manyoyo!!
 
"inatia kinyaa"

Ila kwenye yale mambo akikupa huku hajaoga unayanyonya kama kawaida na chumvini unazamia kabisa.

Hauna tofauti na yule anayeona kinyaa kusuuza kikombe kwa bomba la bafuni akiAmini ni uchafu lakini anaweza kukinga hayo hayo maji kusukutulia mdomo anavyoswaki.
Mkuu tofautisha mke wake/ mchumba wake na mtu asie na mahusiano nae.
.
Wewe unaweza kumtoa makamasi mwanao kwa mikono na usione tabu, ila kwa mtoto asie wako utatafuta kitambaa na tena utakikunja mara mbili ili usiyaguse.
 
Kwani wanawake tunaookotaga barabarani kwenda kulalala nao huwa wanakuwa wake zetu mkuu?

Ukiona mtu ana kinyaa basi fahamu hawezi kuwa msafi kwasababu atakuwa anaona kinyaa akiwa katika jitihada za kupambana na uchafu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom